Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

Tengeneza juis kwa kusindika mkongoraa,na changanya na vumbi la Kongo,andaa good packaging kama juice za Apolina then ingiza mjini,walah kesho TBC watakuomba interview.
Cjaelewa hii
 
Kinachoondoka sio tui bali majimaji yalio kwenye tui.tui lina vitu vingi ndani yake.unapokausha unaondoa majimaj tuu
ukikausha utabaki na mafuta...hivi ndivyo wanavyotengeneza mafuta ya nazi. Huwa wanakuna then inakaushwa halafu inakamuliwa. Lakini biashara ya mafuta ya nazi pia sio mbaya
 
Kinachoondoka sio tui bali majimaji yalio kwenye tui.tui lina vitu vingi ndani yake.unapokausha unaondoa majimaj tuu

Ukikausha machicha ya nazi
Maji huondoka kwa evaporation kinabaki mafuta!
Mafuta ya Mwali nazi yanatengenezwa hivi
 
Mimi Nina mpango wa kuanzisha mini-dairy nifanyr processing ya strictly goats milk... Maziwa ya Mbuzi yana advantages nyingi sana na Soko lake ni kubwa pia.. Nimeanza kwa kununua Shamba na kufanya breeding nipate mbegu nzuri sana.. Am still raising capital for purchasing machinery
 
Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.

2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.

Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.

Kila la heri
Hujaweka sawa gaharama mkuu ya kuanzisha kiwanda bado kiwanja na jengo LA hicho kiwanda.. Bado umeme na issue za wiring... Naomba udadavue vizuri
 
1.Vifaa vyote vipo Dodoma
2. 3 phase induction motor. 18.5kw. 380v.50hz
Inaweza kamua hadi gunia 50 kwa siku
3. i. It is straight foward business unauza mafuta then unakuja uza mashudu bado utauza tope (ugido).I will guide on every step.
ii. Tatizo ni usimamizi nakosa muda. Na vijana wengi siku hizi sio waaminifu kabisa!
Karibu
Naomba niwe msimamizi wako mkuu tunaingia mkataba.... Nimuaminifu na ni mkweli... Sina record yeyote ya udanganyifu wala udhurumaji.. Usiuze mkuu ntasimamia kwa moyo wote naomba uni dm chief... Tuongeze kipato...
 
9aab84f705107911e8d0fea6d3c6f00a.jpg
43c5bde8680467225966857d9793ef9a.jpg
Machine inayokoboa karanga ipo?
 
Biashara ya kukoboa na kusaga nakataa.mtaji wake vinu.umeme na installation ni zaidi ya 12m
Kweli mkuu bado sehemu ya kuweka hicho kiwanda. Zen ujenge [emoji809] wiring na umeme sio simple kiivyo.. Mi nipo najenga kiwanda cha kukoboa na kusaga kinaniendesha hicho kinyamaa
 
Kweli mkuu bado sehemu ya kuweka hicho kiwanda. Zen ujenge [emoji809] wiring na umeme sio simple kiivyo.. Mi nipo najenga kiwanda cha kukoboa na kusaga kinaniendesha hicho kinyamaa
kweli, mil 4 hapo hata location ya kuweka kununua/kukodi haipo.
nadhani wazo ni sahihi lkn liko nje ya estimation ya budget
 
Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.

2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.

Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.

Kila la heri
wazo la pili mkuu nadhani ni gharama zaidi ya hiyo budget.
wazo la kwanza ni feasible, ila sijaelewa kama nakuwa nasaga kuuza mwenyewe au kusagisha watu maana kuna kona moja jamaa ameweka hiyo huwa namuona anasagisha za wananchi, au umemaanisha vyote. hilo ni zuri pamoja na yote ingawa akili ya kutafuta soko inahitajika maana hizo peanut butters naziona nyingi sana madukani japo sio sababu ya kushindwa..
asante mkuu.
 
Back
Top Bottom