MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hayo kawaulize wakenyaSijui kwa nini kila tukianzisha kitu kipya tunaingiza Kenya kama reference. Why not South Africa. Kenya ni majirani zetu wala hatuwezi kuwaonea gere, our level is SA, Malaysia, Singapore etc. Kuanzia leo ni marufuku kujilinganisha na Kenya
Kwanini wao wanachuki na sisi!!