Wakati unasema old, umechukuwa wasaa kujua kiliasisiwa lini? Nani kakwambia sii za kisasa? Usipotoshe umma kwa kutoa habari isiyo sahihi.
Wakati unasema old, umechukuwa wasaa kujua kiliasisiwa lini? Nani kakwambia sii cha kisasa? Usipotoshe umma kwa kutoa habari zisiyo sahihi. Haijalishi kama ni kubwa au la, hilo ni kwa manufaa yenyu kuuza ile surplus. Lakini hapa hamtauza kwa sababu already tuko na yetu. Na pia ujue licha ya kuwa tushaanza uzalishaji bado upanuzi upo. Angalia hii video