Hayo kawaulize wakenyaSijui kwa nini kila tukianzisha kitu kipya tunaingiza Kenya kama reference. Why not South Africa. Kenya ni majirani zetu wala hatuwezi kuwaonea gere, our level is SA, Malaysia, Singapore etc. Kuanzia leo ni marufuku kujilinganisha na Kenya
majengo yakwapi au uzinduz halafu kinaanza kujengwaMaajabu ya nchi yangu thread kama hz znakosa wachangiaji
Ni hatua nzuri na ya kupongezwa
Wewe umepost kabla ya kuangalia videomajengo yakwapi au uzinduz halafu kinaanza kujengwa
Kweli sasa hivi Africa Mashariki inakuwa kwa kasi. Kiwanda cha tiles kimezinduliwa wiki iliyopita na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Mkoa wa Pwani-Mkuranga). Kiwanda hiki kitarahisisha sana upatikanaji wa tiles za kisasa kusini mwa jangwa la sahara.
Kiwanda hiki ni cha kipekee hapa barani Africa. Vitu vyote vinaenda sambamba.
Kiwanda hiki kina urefu wa kilomita moja.
Kwa maelezo zaidi sikiliza hapa:-
NB: Wenzetu kutoka kenya naona wanaendelea na mijisifa yao huku tunasonga mbele. Najua kabisa hawana kitu kama hiki. Kinapatikana tanzania pekee. Na ikumbukwe kuna ahadi ya viwanda 200 toka china. Kwahiyo TZ itakuwa center ya viwanda barani Africa. Na huko Kenya itakuwa kijijini na mtakuwa mnalilia kujakutembelea TZ.
Bavicha hawawezi kuchangia huu uziMaajabu ya nchi yangu thread kama hz znakosa wachangiaji
Ni hatua nzuri na ya kupongezwa
Hauja ambiwa kenya hakunaTwyford Ceramics opened in Kajiado last year is twice, what you are bragging about it is already producing tiles, terracota bricks and other ceramic products.
You are always reading our number as, we are not only producing tiles, but smart tiles, solar tiles, the only producers in Africa who beat the USA Company Tesla in production of solar tiles. Strauss Energy and Tesla USA are the only producers of such. Sorry my friend, for bragging about something so small
Kenyan firm beat Tesla to solar roofing tiles
Strauss Energy | Powering Africa. Lighting Up the World
Utachangia nini wakati huna uhakika wa chakula? Hii ndiyo hali halisi.Maajabu ya nchi yangu thread kama hz znakosa wachangiaji
Ni hatua nzuri na ya kupongezwa
Hako kakiwanda kadogo sana. Hapa tunaongelea mega tiles. Siyo hako kadogo. Kiwanda cha mkuranga is the best kusini mwa jangwa la sahara. Na ni cha kisasa kabisa. Kuanzia mwezi wa sita tunaanza ku export.Twyford Ceramics opened in Kajiado last year is twice, what you are bragging about it is already producing tiles, terracota bricks and other ceramic products.
You are always reading our number as, we are not only producing tiles, but smart tiles, solar tiles, the only producers in Africa who beat the USA Company Tesla in production of solar tiles. Strauss Energy and Tesla USA are the only producers of such. Sorry my friend, for bragging about something so small
Kenyan firm beat Tesla to solar roofing tiles
Strauss Energy | Powering Africa. Lighting Up the World
Pesa ya kunywa viroba unapata pesa ya kununua msosi unataka serikali ukupatie. Ni fyatu pekee anaweza kuwa na mawazo hayo.Utachangia nini wakati huna uhakika wa chakula? Hii ndiyo hali halisi.
Tukumbushane: Mambo mazuri hayataki haraka.
Level yetu SA, Singapore Hahaha comedian mzuri weye. Hii kwa kiengereza false sense of one's greatness.Sijui kwa nini kila tukianzisha kitu kipya tunaingiza Kenya kama reference. Why not South Africa. Kenya ni majirani zetu wala hatuwezi kuwaonea gere, our level is SA, Malaysia, Singapore etc. Kuanzia leo ni marufuku kujilinganisha na Kenya
Habari za Gwajima,WemaUtachangia nini wakati huna uhakika wa chakula? Hii ndiyo hali halisi.
Tukumbushane: Mambo mazuri hayataki haraka.
Kweli sasa hivi Africa Mashariki inakuwa kwa kasi. Kiwanda cha tiles kimezinduliwa wiki iliyopita na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Mkoa wa Pwani-Mkuranga). Kiwanda hiki kitarahisisha sana upatikanaji wa tiles za kisasa kusini mwa jangwa la sahara.
Kiwanda hiki ni cha kipekee hapa barani Africa. Vitu vyote vinaenda sambamba.
Kiwanda hiki kina urefu wa kilomita moja.
Kwa maelezo zaidi sikiliza hapa:-
NB: Wenzetu kutoka kenya naona wanaendelea na mijisifa yao huku tunasonga mbele. Najua kabisa hawana kitu kama hiki. Kinapatikana tanzania pekee. Na ikumbukwe kuna ahadi ya viwanda 200 toka china. Kwahiyo TZ itakuwa center ya viwanda barani Africa. Na huko Kenya itakuwa kijijini na mtakuwa mnalilia kujakutembelea TZ.
Maajabu ya nchi yangu thread kama hz znakosa wachangiaji
Ni hatua nzuri na ya kupongezwa
Ukweli kabisa. East Africa we are lucky to have 3 countries zenye population which is about the same size. Positive competition for development. Pia uhabeshiKweli sasa hivi Africa Mashariki inakuwa kwa kasi. Kiwanda cha tiles kimezinduliwa wiki iliyopita na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Mkoa wa Pwani-Mkuranga). Kiwanda hiki kitarahisisha sana upatikanaji wa tiles za kisasa kusini mwa jangwa la sahara.