L
Nitashangaa sana kama viongozi wa serikali yetu wanaojinasibu kwa uzalendo kila siku watakuwa wanahusika na hiyo biashara, muhimu tuambiwe ni nani mmiliki wa hicho kiwanda, sio kila siku tunalazimishwa kuamini barakoa toka nje zina matatizo ya kiafya wakati ni wao ndio walioruhusu ziingie.
Sikutegemea kama kuna watu watawaza biashara katikati ya hali hii tuliyonayo.
Hivi zinazotumika kushona barakoa ndo zile zile zilizodizainiwa kwa ajili ya kushona maovaroli? Delicacy ya overoll na barakoa vitaendana kwel?Kushona barakoa za kuuza nchi nzima kwa zile cherehani za kushonea ma ovaroli ya usafi haiwezekani , tafuta uongo mwingine