Naomba kanusho la kitaalam kuhusu pesa za Abdul na mama yake.....wakala wa kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi anaweza kua kwenye nafasi nzur zaidi ya kueleza hilo gentleman,
maana kibaraka alidai hadharini kwamba yeye ni maskini hana,
ghafla wakala wake anazigawa kama njugu.
inafedhehesha sana, inasikitisha sana aise π
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani, bila kuhamisha magoli kisayansi na kisanii gentleman,Naomba kanusho la kitaalam kuhusu pesa za Abdul na mama yake.....
Tuanze hapo
Wacha upambe usio na manufaa ta muda mrefu. Mwenzio nilishafanya kuliko wewe na nimeona faida na hasara zake ila hasara ni nyingi kuliko faidaGentleman,
Kiwango cha Rushwa iliotolewa mlimani City kwenye uchaguzi wa Chadema Taifa, haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru π
Ushirkina ni wewe ndio maana umekimbilia ukoGentleman,
mie naelezea ukweli sio ushirikiana unaoufanya π
Si mnasema mama amepambana na rushwa na ameimaliza kabisa? Hao TAKUKURU kwa nini wako kimya?Gentleman,
rushwa ni adui wa haki, sifahamu utaeleza nini baada ya walioshindwa uchaguzi wa Chadema wakianza kuporomosha mayowe kuhusu rushwa,
sifahamu utakua unajionea kinyaa kwa kiwango gani gentleman π
Serikali dhaifu yenye TAKUKURU? Ya Samia msikivu.My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi yake. Sio wanachama ambao ndio wajumbe wapiga kura, sio viongozi wao wagombea uongozi na wapambe wao, wote wanatoa na kupokea rushwa, na kwa wakati huu bila kificho. Hakuna wa kumkoromea mwingine kwenye hilo ndani ya Chadema kwasasa.
Kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa za Tanzania, ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini, kinaweza kua mbadala wa Chadema na kuaminika tena katika suala zima la kukemea rushwa hasa nyakati za uchaguzi, ukiachilia mbali CCM na Serikali yake sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ambao wamefanikiwa kudhibiti miaya ya rushwa kwa kiwango kikubwa zaidi tangu tupate uhuru?π
Mungu Ibariki Tanzania