Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

wakala wa kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi anaweza kua kwenye nafasi nzur zaidi ya kueleza hilo gentleman,

maana kibaraka alidai hadharini kwamba yeye ni maskini hana,
ghafla wakala wake anazigawa kama njugu.

inafedhehesha sana, inasikitisha sana aise 🐒
Naomba kanusho la kitaalam kuhusu pesa za Abdul na mama yake.....

Tuanze hapo
 
Naomba kanusho la kitaalam kuhusu pesa za Abdul na mama yake.....

Tuanze hapo
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani, bila kuhamisha magoli kisayansi na kisanii gentleman,

rushwa bado inaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa mlimani City unapofanyika uchaguzi wa Chadema 🐒
 
Gentleman,
Kiwango cha Rushwa iliotolewa mlimani City kwenye uchaguzi wa Chadema Taifa, haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru 🐒
Wacha upambe usio na manufaa ta muda mrefu. Mwenzio nilishafanya kuliko wewe na nimeona faida na hasara zake ila hasara ni nyingi kuliko faida
 
Wacha upambe usio na manufaa ta muda mrefu. Mwenzio nilishafanya kuliko wewe na nimeona faida na hasara zake ila hasara ni nyingi kuliko faida
Gentleman,
mie naelezea ukweli sio ushirikiana unaoufanya 🐒
 
Gentleman,
rushwa ni adui wa haki, sifahamu utaeleza nini baada ya walioshindwa uchaguzi wa Chadema wakianza kuporomosha mayowe kuhusu rushwa,

sifahamu utakua unajionea kinyaa kwa kiwango gani gentleman 🐒
Si mnasema mama amepambana na rushwa na ameimaliza kabisa? Hao TAKUKURU kwa nini wako kimya?
 
My friends, ladies and gentlemen!

Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.

Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi yake. Sio wanachama ambao ndio wajumbe wapiga kura, sio viongozi wao wagombea uongozi na wapambe wao, wote wanatoa na kupokea rushwa, na kwa wakati huu bila kificho. Hakuna wa kumkoromea mwingine kwenye hilo ndani ya Chadema kwasasa.

Kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa za Tanzania, ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini, kinaweza kua mbadala wa Chadema na kuaminika tena katika suala zima la kukemea rushwa hasa nyakati za uchaguzi, ukiachilia mbali CCM na Serikali yake sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ambao wamefanikiwa kudhibiti miaya ya rushwa kwa kiwango kikubwa zaidi tangu tupate uhuru?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Serikali dhaifu yenye TAKUKURU? Ya Samia msikivu.
 
Back
Top Bottom