Kiwango cha ujasiri na umakini wa Tundu Lissu mahakamani kinashuka kadiri anavyoitwa mbele ya mahakama kujibu yanayomkabili

Nahisi hata lock up hujawahi kuingia angalau kwa nusu dakika ndio maana umepata nguvu ya kuandika Uzi
Jikite kwenye hoja bila kuweseka gentleman,

why Lisu kapoteza ujasiri na umakini mbele ya mahakama? achana na porojo zingine 🐒
 
TL ataandikwa kwenye vitabu vya historia na kesi yake itasaidia sana mahakama na kumpata mtu kama Tundu Lisu yaweza kutuchukua miaka zaidi ya 100
 
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?

Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.

Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.

Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

Hayawani naona unajitahidi sana ili kuwaridhisha mashetani wako.
 
Hadi maCCM wenzako wanakuahangaa.kwa ujinga wako.

20250813_215347.jpg
 
Hadi atoke atakuwa kashajifunza madhara ya kuropoka. Lissu anaropoka hadi mahakamani. Mbaya zaidi wafuasi wake wanamtukana hakimu na mawakili upande wa serikali. Watamnyoosha ili adabu iwepo.
yaani atkua anapitia msongo wa mawazo wa kiwango cha juu mno na yote hayo ni sababu ya uropokaji wake meenyewe na ujuaji nonsense ambao haujawahi kumsaidia chochote 🐒
 
Wakati mwingine mtu uwe na Hekima hata nusu Kijiji na ulete mada zenye mashiko,Asiye na Dhambi na amrushie niwe mtu huyo,Anza Wewe utalipwa!
huyo muungwana angelikua na hekima uropokaji usingemsotesha korokoroni kwa fedheha kiasi hicho gentleman,

hata hivyo,
mambo si yanaonekana bayana kwamba huenda amelemewa na sasa hofu imemjaa, umakini na ujasiri vimetoweka.

anailazimisha furaha wakati sura inaonyesha anastress za kiwango kibaya sana, huku wanafiki kama wewe mkimsifu,

nonsense kabisa gentleman 🐒
 
Wakati mwingine mtu uwe na Hekima hata nusu Kijiji na ulete mada zenye mashiko,Asiye na Dhambi na amrushie niwe mtu huyo,Anza Wewe utalipwa!
huyo muungwana angelikua na hekima uropokaji usingemsotesha korokoroni kwa fedheha kiasi hicho gentleman,

hata hivyo,
mambo si yanaonekana bayana kwamba huenda amelemewa na sasa hofu imemjaa, umakini na ujasiri vimetoweka.

anailazimisha furaha machoni wakati moyoni mwake na sura inaonyesha ana stress za kiwango kibaya sana, huku wanafiki kama wewe mkimsifu,

nonsense kabisa gentleman 🐒
 
Kwa mujibu wa wewe mwenyewe katika maandiko yako umewahi kuona kuwa Lisu ana umakini bwana Yeriko?
mara nyingi anakua katika kiwango cha juu sana cha stress gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom