Kiwango cha ujasiri na umakini wa Tundu Lissu mahakamani kinashuka kadiri anavyoitwa mbele ya mahakama kujibu yanayomkabili

Umeandika upuuzi tu.., kesi za kisiasa huwa zinawarudia wanaozifungua, one way or the other..
 
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?

Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.

Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.

Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Anachopitia ni trauma… hata ungekua wewe

I hope sasa kajifunza wabongo hawana hero na hawana muda

Alijigeuza yesu

Sasa hata ndumuz wamemtosa
 
For sure it's,
mambo ya kujitakia hua Yana majuto sana mwishowe 🐒
 
Hadi atoke atakuwa kashajifunza madhara ya kuropoka. Lissu anaropoka hadi mahakamani. Mbaya zaidi wafuasi wake wanamtukana hakimu na mawakili upande wa serikali. Watamnyoosha ili adabu iwepo.
Hadi atoke au hadi anyongwe?
Rekebisha hapo.
 
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?

Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.

Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.

Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Hata mumwite Samia aende kutoa ushahidi bado ccm mtaanguka. Tufanye umahiri umeshuka kwanini mmetunga kanuni za kuwaficha mashahidi, mnalazimisha kesi iairushwe live, yote hayo mnayafanya kwa sababu uwezo wenu ni mdogo na Lissu atawashinda.
 
Kwa Ukatili anaofanyiwa Lisu.. nikimuona mtu kama wewe anamsimanga Lisu Huwa namtoa kabisa kwenye kundi la binadamu.
Mtu kama ww unastahili kuitwa Shetani.. huna huruma kabisa
 
Nimewaambia wanachama wenzangu wa Chadema tunadamane kwaajili ya Lissu ila ni waoga kama nyumbu wanasema hamna haja ya kuandamana Lissu kazoea Gereza, wakati Lissu mwenyewe analia mahakamani anasema Gerezani siyo kuzuri
 
Back
Top Bottom