Tuna
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,823
- 2,476
Kunyongwa hanyongwi sema chamo anakionaMnyongeni basi ili nanyie tuone hatma yenu inakuwaje?

Kampeni zenu si mchezokuishi kwa ramli si kazi sana gentleman?
nadhan kila moja wenu anaona athari za mizaha na uropokaji kwenye mambo ya Msingi right?🐒
Hiyo ni subjective opinion.why muungwana kajawa hofu na amekosa umakini mbele ya mahakama?🐒
Mwamba Yuko imara Sana ingekuwa wewe wangeshazika kitamboUnadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?
Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.
Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.
Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?
Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.
Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.
Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Nenda kaangalie Mrindoko yule mchokonozi alivyo muongelea Lissu, kimsingi huyo ni anatengeneza tension kwa watu maana na yeye hiyo ndo kazi yake anaishi kwa kusemwa semwa hivyo,anachokoza kitu makusudi ili apate kiki aendelee kung'aa lakini hana lolote la kwamba yeye akiwa madarakani kwamba anaweza kuwasaidia waTanzania hamna lolote,ni mbwembwe tu na kusaka tongeUnadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?