Kiwango cha ujasiri na umakini wa Tundu Lissu mahakamani kinashuka kadiri anavyoitwa mbele ya mahakama kujibu yanayomkabili

Kiwango cha ujasiri na umakini wa Tundu Lissu mahakamani kinashuka kadiri anavyoitwa mbele ya mahakama kujibu yanayomkabili

Huna lolote gentleman, ni mbwambwajaji tu kama Lucas Mwashambwa.
ukiwa uko pointless unakaa kimya tu kuliko kumbwelambwela jukwaani with nonsense
Kwa Ukatili anaofanyiwa Lisu.. nikimuona mtu kama wewe anamsimanga Lisu Huwa namtoa kabisa kwenye kundi la binadamu.
Mtu kama ww unastahili kuitwa Shetani.. huna huruma kabisa
hua sina muda wa masimango bali kueleza Ukweli kwenye mambo ya Msingi ndugu Mtakatifu mnafiki 🐒
 
Hata mumwite Samia aende kutoa ushahidi bado ccm mtaanguka. Tufanye umahiri umeshuka kwanini mmetunga kanuni za kuwaficha mashahidi, mnalazimisha kesi iairushwe live, yote hayo mnayafanya kwa sababu uwezo wenu ni mdogo na Lissu atawashinda.
kuishi kwa ramli si kazi sana gentleman?
nadhan kila moja wenu anaona athari za mizaha na uropokaji kwenye mambo ya Msingi right?🐒
 
Hadi atoke atakuwa kashajifunza madhara ya kuropoka. Lissu anaropoka hadi mahakamani. Mbaya zaidi wafuasi wake wanamtukana hakimu na mawakili upande wa serikali. Watamnyoosha ili adabu iwepo.
Jinga wewe! Fisiemu ni mashetani na Mungu hachezewi asilani!
 
Kuna wakati Mungu hutaka kujichukulia utakufu na kuitwa Mungu, kwa Lisu ndani ya mda mfupi atajitwalia utukufu wake.
 
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?

Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.

Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.

Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kama ilivyosera yenu kufurahia manyanyaso kwa wengine,kuona au kuamini hivyo ndiyo furaha yenu.
 
Wanampiga spana Kwa ujuaji wake tu,
Mfano.
Siku natoka mzigo Kwangu ni hapo kati kino.
Bi mkubwa kaniita huko g, mboto, nikaona nikamsikilize
Usafiri wa kuunga siku hizo dcm zinatamba.
Hamna Tata, wala eicher, bajaj, wala Boda, ist wala haya magari km torori.
Ni taxi corolla au Ukwee hilo compas dcm.
Sasa mi nimefika pale buguruni na mwana tulikua na Usafiri wetu tulichanga ila ni kaona itakua late sio poa kusumbua hadi kule porini so nikamwambia aniache buguruni kituoni pale sokoni mi kule nafika tu.
Balaa.
Na kaa pale nilambe dcm nifike maskani Kwa bi mkubwa ile macho juu mida imeenda.
Duh mara mapoti hawa hapa
Wako na vibaka km 20.
Funzo
Wanauliza
" we mzurulaji eeh unasubiria nini hapa?
Mi najibu
" mzurulaji nani wewe achana na mimi kamata wazururaji wenzio.
Aloo Nilipigwa jeki, nikaungwa na vibaka aisee mpk kituoni.
Mda wa kukabidhi vitu duh
Wakakuta yaani sifananii kabisa na walichohisi.
Kulikua na maokoto kibao, simu mtu enzi hizo hata haoti atapata vipi, dollar zipo.
Ni kaanza kubembelezwa.
Nilitoka asubuhi wali chukua hela na simu,
badae walijuta, maana kumbe mkuu wao wa kituo nilisoma nae shule ya msingi
Na tulikutana hapohapo nafatilia simu.
Baada ya salamu kumweleza kilichotokea.
WAlipigwa kwata wale mpk basi, Kwa sababu jamaa mjeshi pale alipelekwa tu kusimamia.
Anauliza sasa sema tufungue kesi au vp.
Mi nikaona nipewe simu yangu tu na vingine najua wametumia.
Wakarudisha ile Samsung slide.
Maelezo ni story tu lakini Funzo ni pale niliwajibu Kwa dharau mwanzo kabisa
Ningejibu Kwa stara maybe wangechukua hela ya polish tu wakatoka na vibaka wao.

Mbaya zaidi nafika home asubuhi Maza ndo kwanza anasema pole na starehe.
Anajua nimekesha bar huko,
aisee ule uchungu nilipata basi tu.
Namwambia kilichotokea ye ndo kaangusha kilio km msiba.
Wale watu walaaniwe
 
Kunyongwa sio rahisi ila anafundishwa tu adabu.
Kwanini isiwe rahisi ilhali mawakili wa serikali wanaosema kesi ina maslahi kwa umma wanasema ni MHAINI,kwani adhabu yake si kunyongwa,hapo kesi yenye maslahi kwa umma Emma wakili wa serikali wanataka mashahidi wasijulikane,yaani tusijue MASHUJAA,wanaotusaidia mhaini wa taifa letu,kukutwa na hatia na kunyongwa,ili taifa lipone.
 
Hadi atoke atakuwa kashajifunza madhara ya kuropoka. Lissu anaropoka hadi mahakamani. Mbaya zaidi wafuasi wake wanamtukana hakimu na mawakili upande wa serikali. Watamnyoosha ili adabu iwepo.
Mama la mama upo vipi umeshapelekewa moto.
 
Lissu mtu wa hovyo sana
Nikweli ni wahovyo kabisa bora wangemnyonga ili nchi itulie maana yeye ndio anasababisha vurugu nchini..

Anawasumbua watakatifu wa ccm ambao sio wapenda rushwa,sio mafisadi nawala sio wafanya mabaya.

Enyi CCM chama changu mnyongeni lissu mapema ili muuishi kwa amani haiwezekani mtu mmoja awasumbue.

Nyie ccm mtaishi milele.
 
huyo muungwana angelikua na hekima uropokaji usingemsotesha korokoroni kwa fedheha kiasi hicho gentleman,

hata hivyo,
mambo si yanaonekana bayana kwamba huenda amelemewa na sasa hofu imemjaa, umakini na ujasiri vimetoweka.

anailazimisha furaha wakati sura inaonyesha anastress za kiwango kibaya sana, huku wanafiki kama wewe mkimsifu,

nonsense kabisa gentleman 🐒
Huoni aibu umeleta mada na unasapoti mwenyewe .
Waambie ccm wamnyonge ili nyie muishi kwa amani.
 
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?

Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.

Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.

Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

Kati ya Lisu na anayetaka kuendesha shauri kwa star chamber nani hana ujasiri?
 
La mwisho ni pale aliposema kwa mdomo wake kwamba kesi ya Uhaini 1970 na 1973 mashahidi walipewa majina bandia. Wakili Katuga akaipokea kwa mikonoil miwili kama ni ushahidi precedence ya witness protection. Halafu Wakili wake Dr Rugemeleza Mashalla alipokutupukua kutaka kuongea Mahakamani huku alishakataliwa kuwa Wakili, Wakili Katuga kaliona ujinga wake. Hivi Rugemaliza huyu ni Dr kweli? Wa wapi? Tatizo ni Mawakili 31 wanagombania keki moja ya EU wanakanyagana. Kujibu hoja yako Tundu Lissu ni matusi tu, Activists. He is not a good lawyer, has never been a good Lawyer.
 
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?

Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.

Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.

Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Sidhana kama yenu anauwezo yakujitetea ndani ya kizimbani ...angekuwa anakunya mavi tu...pwiiiiiiiiiiiiii by the way you're not a lawyer & you didn't go to law school ila unataka uonekane kama moja wawo.... Garbage
 
kuishi kwa ramli si kazi sana gentleman?
nadhan kila moja wenu anaona athari za mizaha na uropokaji kwenye mambo ya Msingi right?🐒
Hayo ya ramli unayo wewe kichwani mwako. Ila uhalisia ndio huo.
 
Tareh 13/08/2025 lissu kawapiga spana kweli kweli mpaka mkakimbiliakuhailisha kesho ili mkapokee maagizo ya mama, juzi kaongea hoja simple ambazo hata mtoto wa chekechea anakubaliana naye.lisuu ile mahakama anaifanya anachotaka na nyie mlivyo wajinga sasa mnafuata kasha onyesha mahakama za bongo hamna haki kila mwananchi saizi anajua ilo.
 
Back
Top Bottom