Kiwango kilichoonyeshwa na Yanga Zanzibar ,ndio uwezo wa timu yetu

Ni kibaya? Kama ni kibaya umeuandikia uongozi wa timu mapendekezo yako kama mwanachama halali wa timu?

kama ni kizuri basi usiendelee kupoteza muda hapa kamfatie shemeji yako mkate anywe chai aende kuwatafutia wewe na dada yako.....
 
Kiwango kibaya sheikh
Injinia huwa anapitapita humu ataona.hata hivyo mpira ni mchezo wa wazi sio ngono ile kwamba mlijifungia chumbani na mumeo
 
Ni kibaya? Kama ni kibaya umeuandikia uongozi wa timu mapendekezo yako kama mwanachama halali wa timu?

kama ni kizuri basi usiendelee kupoteza muda hapa kamfatie shemeji yako mkate anywe chai aende kuwatafutia wewe na dada yako.....
Mmmm..vip tena mbona kama umepanic mzee nwezangu waache waongee tu haitupunguzii kitu bali inatuimalisha
 
Sio kwa ubaya kaka ila jambo linapokuwa halipo sawa busara ni kulifikisha mahala panapohusika

AMA NIMEKOSEA
 
Azam alitolewa. Mpo kimyaaa
Kwani Azam nayo ni timu
Kimataifa ilitolewa hatua za awali hata kabla Dimba na Yanga kuanza mechi zao.
Huku kwenye ligi anapigania nafasi ya tatu
Azam hakuna timu
 
Sio kwa ubaya kaka ila jambo linapokuwa halipo sawa busara ni kulifikisha mahala panapohusika

AMA NIMEKOSEA
Unawezaje kumfikia injinia ofisini kirahisi?

Hapa JF pia ni sehemu sahihi ya kufikisha ujumbe
 
Back
Top Bottom