Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
- Thread starter
-
- #21
Kuna baadhi ya viwanja vimemepimwa jirani na kiwanja changu, kuna mradi wa upimaji endelevu ukienda Serekali za mitaa utapata taarifa zaidi .Zoezi laupimaji vipi kuna baadhi ya maeneo yamepimwa?
Kiwanja bado kipo mwenye kuhitaji tuwasiliane
Karibu sana
Kama unatafuta kiwanja heka moja bado ipoKaribu sana
jibu la kiufundi lisilokera. heko kwakoMkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unayajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
stendi sio kuzuri. Moshi wa magari na kelele sio rafiki kwa afya ya akili, msamehe bure.Mkuu umechanganya location magorafa ya marekani yako sehemu gani huku?
Labda unazungumzia maeneo mengine, ila sio mwembe mdogo kigamboni.Hayo maeneo nayajua vema kule kama ukijenga nyumba usiponyanyu msingi juu siku mvua ikinyesha jiandae kuvua kambale
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli hatua moja sio sawa kabisa na mita moja.Asante kwa ushauri tunatumia hatua kwasabu ya kutokua na vifaa vya kupimia urefu mkubwa ila hatuma moja nisamwa na mita moja kwayo kiwanja kina ukubwa wa mita 70 kwa 70 kinapungua mita 30 kulingana na kiwanja cha mpira.
hatusemi nauli kiasi gani , watu wana magari yao sema kutoka ferry hadi site ni km ngapi .ndio mtu atakadiria umbaliHakuna huduma za kijamii nguzo za umeme ziko mbali kidogo ila kuna watu wanaishi, wengine wanajenga kwakifupi bado apajangamka, kutoka ferry hadi mwembe ndogo kituoni nauli kati ya 500 hadi 700 , kutoka kituo cha dadala hadi kwenye kiwanja bodaboda wanachaji 1,000
Hapana kuna hekama moja tuNataka heka tatu ziwe sehemu moja
Ooh kumbe nipe maujanja kilo mita nizipime kwa kutumia nini chifu?hatusemi nauli kiasi gani , watu wana magari yao sema kutoka ferry hadi site ni km ngapi .ndio mtu atakadiria umbali
bosi kiwanja chako mwenyewe hujui mita ngapi kwa ngapi,hujui ni umbali gani kutoka centre yani hujui lolote kuhusu site yakoOoh kumbe nipe maujanja kilo mita nizipime kwa kutumia nini chifu?
Weew mjuaji nimekuliza hizo km zinapimwaje au kwakutumia nini umekimbilia kwingine jibu km zinapimwa kwakutumia macha au miguu jibu swali usianzishe mada mpya na story ndefu ndefe jibu swali kisha uliza au anzisha ligi mpya inaoneke uko viziru kwa ligi .bosi kiwanja chako mwenyewe hujui mita ngapi kwa ngapi,hujui ni umbali gani kutoka centre yani hujui lolote kuhusu site yako
Sijauza boss wanguHabari mkuu vipi ulipata au umeuza kiwanja umelela mbele
Room 106 wakowapi mbona siwaoniWanakuja mkuu,