Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

Aisee kuna kiwanja kipo "Tip top" [emoji23][emoji23][emoji23] ni mpaka asubuhi, watu kibao.

Kinaitwa "Tip top pub" hahah...bei ni elekezi.

Halafu wana sehemu kama tatu, unachagu ambapo kutakuwa na miziki inayokubamba ( kuna sehemu ya mbele, halafu kuna sehemu unakuwa unaingia kwa ndani) pote kuna nafasi, maDj tofauti...miziki tofauti....watu kibao, shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…