GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu,

ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya

=======

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.

 
Mfanyakazi aliefanya kazi kwa miaka 30 akistaafu wanampangia wampe mafao yake kwa 25%!
Mbunge aliyekaa bungeni miaka 5 anaondoka na mafao ya shs 400M!
kama haitoshi sasa wamekuja na mafao mapya tena ya kutisha kwa wake na waume wa viongozi!
Shame CCM! Shame bunge!
 
Back
Top Bottom