Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Mkuu unaongelea kikosi cha nini maana kama cha uefa hakuna hazard wala neymar...! Au unaongelea kikosi bora cha epl? Ok ata laliga neymar pia alikuwepo kikosi bora cha msimu
Waambie mkuu kuna watu wanasema hazard ni bora kuliko neymar wakati hazard ni kama Sanchez
Naona wanachelsea wanaleta mahabaNeymar sio wa kawaida kabisa mkuu
Dribble hazard yupo juu ya neymar
Neymar sio wa kawaida kabisa mkuu
Kwa faida ya wote mkuu, iko hivi UEFA waga wanatoa vikosi viwili vya mwaka
Kama una kikosi tofauti na hichi wekaSource?
Hazard kafanya kipi UEFA msimu huu?
Neymer yupo kwenye kipi?Kwa faida ya wote mkuu, iko hivi UEFA waga wanatoa vikosi viwili vya mwaka
1. Kikosi ambacho wanatoa wenyewe kutoka kwa wataalamu wao
2. Kikosi ambacho waga kinapigiwa kura na mashabiki
Turudi kwenye mada, wewe kikosi ulichoweka ni kutoka kwa mashabiki na sio majaji wa uefa, hapa unaweza kumkuta ata hazard ambae timu yake haikufika ata 16 bora kwakuwa tu alipata kura nyingi
Kikosi bora cha uefa ni hiki
View attachment 682993
Point yako ni ipi labda?Neymer yupo kwenye kipi?
Hispania ndo kunaushindani? Hayo ya kila mwaka Madrid au Baca? Sema kuna timu bora lkn ligi yao haina ushindani kivile. Angalau kungekuwa na timu hata 5 zinazoweza kuchukua ubingwa ningesema kuna ushindani. Hawana tofauti sana na German, France na Italy.Hata timu tu anayocheza inampa nafasi kubwa sana mchezaji kama neymar anachezak ktk ligi ambayo haina ushindani sana tofaut na Hispania au England
Sasa Mkuu mbona unaleta mihemko hivyo? Kwani huwezi kutoa hoja kama wengine bila kutukana, neno mpuuzi la nini sasa?
Messi bado yupo yupo sana, hao watachuja kabla ya Messi kuacha soka.
Santiago bernabeuNeymar Jr nampa nafasi kubwa sana ila mpaka atakapoamia timu yenye ushindani na kubwa.
Kamzidi KUTOKUWA na gemu ya SHOW OFF na pia kamzidi kama team player, sio mchoyo kama Neymar.