Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Mkuu unaongelea kikosi cha nini maana kama cha uefa hakuna hazard wala neymar...! Au unaongelea kikosi bora cha epl? Ok ata laliga neymar pia alikuwepo kikosi bora cha msimu
4c7c01f24d734baa7033299b1604b9d9.jpg
 
Hivi hizi tuzo huwa ni za washambuliaji? Kwanini walinda milango wananyimwa nafasi hizi?
 
Kwa faida ya wote mkuu, iko hivi UEFA waga wanatoa vikosi viwili vya mwaka

1. Kikosi ambacho wanatoa wenyewe kutoka kwa wataalamu wao

2. Kikosi ambacho waga kinapigiwa kura na mashabiki

Turudi kwenye mada, wewe kikosi ulichoweka ni kutoka kwa mashabiki na sio majaji wa uefa, hapa unaweza kumkuta ata hazard ambae timu yake haikufika ata 16 bora kwakuwa tu alipata kura nyingi

Kikosi bora cha uefa ni hiki
656-UCL-TOTS.jpg
 
View attachment 682993
Neymer yupo kwenye kipi?
 
Hata timu tu anayocheza inampa nafasi kubwa sana mchezaji kama neymar anachezak ktk ligi ambayo haina ushindani sana tofaut na Hispania au England
Hispania ndo kunaushindani? Hayo ya kila mwaka Madrid au Baca? Sema kuna timu bora lkn ligi yao haina ushindani kivile. Angalau kungekuwa na timu hata 5 zinazoweza kuchukua ubingwa ningesema kuna ushindani. Hawana tofauti sana na German, France na Italy.
 
Sasa Mkuu mbona unaleta mihemko hivyo? Kwani huwezi kutoa hoja kama wengine bila kutukana, neno mpuuzi la nini sasa?

Huyu jamaa sijui katokea wapi. Eti Watu wanaipenda psg kwa ajili ya neimar 😛 alafu anamdharau dybala 😀

Binafsi Dybala atakuja kusumbua sana zaidi ya wengine. Ningependa aende tim za ushindani kama vile Barca or Madrid.
 
Back
Top Bottom