Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Nani mkali wa Rhumba DRC?

  • Total voters
    48
Kwa upande wangu Ferré Gola yupo vizuri sana...kamzidi Fally Ipupa. Sikiliza hzi ngoma ambazo ni baadhi tuu ya nyimbo nyingi nzuri za Férre Gola,

Court circuit
Marathon
Kamasutra
Carte rose
Mea culpa
3eme doigt

Jaman Ferré Gola is widely regarded as one of the best fifth-generation Congolese artists.

Msikilizeni mtaniambia!!

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwimbaji na mnenguaji.
Mwimbaji ni Ferre Gola Papa Herve, Le Jesus, Nikaboronina
Mnenguaji: Fally
 
Yaani mimi sijui unasemaje fally nikuelewe kwamba sio Bora,mimi ni mshabiki wa fally kama ilivyo kwenye team ya mpira wa miguu,,El rey mago

Umetisha mkuu
Asee Férre Gola ni noma...yani anaimba unaskia kweli nyimbo imeimbwa...misingi yote ya mziki anaifuata...cheki ngoma kama 100 Kilos ni soo asee...kwa kweli amenirudisha kupenda Rhumba music.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja yako
Ahsante mkuu...yaani kama unapenda mziki uliotulia, wenye ladha na tungo tamu...ww sikiliza rhumba zaFérre Golla a.k.a Le Padré utaenjoy sana...yaan sanaa hasa ya muziki imebebwa na huyu mwamba...hata lugha za Lingala/French sizielewi lkn nkisikiliza ngoma zake nafurahi.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
3 kali kutoka album ya Gola, Dynastie 2...

ilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hii
Dah we jamaa umenikumbusha tukio mwezi wa nane nilipata emergency kwenda moro nikaenda shekilango kupanda bus, mabus yakawa hadimu na muda umeenda ktk kuwasilana na jamaa zangu nikaonganishwa na jamaa alikuwa anaenda mbeya ( private) kwakuwa alikuwa anaenda mbali nikamwambia pumzika ilikuwa crown athlete bado mbichi nikakamata usukani nikaweka flash yangu ilojaa rhumba uzuri nilimkosha mpaka jamaa na gari ilikuwa inamziki heavy ulochujwa haswaa, jamaa mpaka akalala kabisa sauti ilikuwa ya wastani masaa mawili tu yalitosha kufika moro kwa nyimbo mbili huo 100kilos na ya jean wa madilu system jamaa hakuamin namuamsha round about kuikamata iringa road.
 
😂si Mchezo,
vitamin music is real aise
 
Back
Top Bottom