Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
flie - fally ipupaHaya mzee sindikiza na Marathon View attachment 2803546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
flie - fally ipupaHaya mzee sindikiza na Marathon View attachment 2803546
Ni flye bossflie - fally ipupa
KamasutraKwa upande wangu Ferré Gola yupo vizuri sana...kamzidi Fally Ipupa. Sikiliza hzi ngoma ambazo ni baadhi tuu ya nyimbo nyingi nzuri za Férre Gola,
Court circuit
Marathon
Kamasutra
Carte rose
Mea culpa
3eme doigt
Jaman Ferré Gola is widely regarded as one of the best fifth-generation Congolese artists.
Msikilizeni mtaniambia!!
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Alliance,slMkuu umesiliza Marlene,seyo, science fiction, bloque,afsana,Mal accompagné, lady d
Asee Férre Gola ni noma...yani anaimba unaskia kweli nyimbo imeimbwa...misingi yote ya mziki anaifuata...cheki ngoma kama 100 Kilos ni soo asee...kwa kweli amenirudisha kupenda Rhumba music.Yaani mimi sijui unasemaje fally nikuelewe kwamba sio Bora,mimi ni mshabiki wa fally kama ilivyo kwenye team ya mpira wa miguu,,El rey mago
Umetisha mkuu
Fally anachomzidi Férre Golla (Le Padré) ni kucheza tu...lakn kwenye tungo na uimbaji Le padré anatisha sana..sema yy hana mbwembwe nyingi.Ameimba na wizkid,J Martin,R.kelly,Na wasanii wengine Duniani,labda watuweke sawa wanamfananisha kwa vipengele kipi?
Naunga mkono hoja yakoFally anachomzidi Férre Golla (Le Padré) ni kucheza tu...lakn kwenye tungo na uimbaji Le padré anatisha sana..sema yy hana mbwembwe nyingi.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu...yaani kama unapenda mziki uliotulia, wenye ladha na tungo tamu...ww sikiliza rhumba zaFérre Golla a.k.a Le Padré utaenjoy sana...yaan sanaa hasa ya muziki imebebwa na huyu mwamba...hata lugha za Lingala/French sizielewi lkn nkisikiliza ngoma zake nafurahi.Naunga mkono hoja yako
Embu sikiliza nidjaFally anachomzidi Férre Golla (Le Padré) ni kucheza tu...lakn kwenye tungo na uimbaji Le padré anatisha sana..sema yy hana mbwembwe nyingi.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Shukrani sana...nmeongeza nyimbo nzuri ktk list yangu. Ferré Golla...Le Padré ni noma.3 kali kutoka album ya Gola, Dynastie 2...
View attachment 2808250
View attachment 2808251
View attachment 2808253
Case closed!Hapo nyimbo zote za rhumba za fally zinalipwa kwa wimbo mmoja tu wa ferre, kinshasa.
Ferre ni mkali wa rhumba zaidi ila fally ni mkali wa aina zingine za mziki yaani anachanganya miondoko.
Dah we jamaa umenikumbusha tukio mwezi wa nane nilipata emergency kwenda moro nikaenda shekilango kupanda bus, mabus yakawa hadimu na muda umeenda ktk kuwasilana na jamaa zangu nikaonganishwa na jamaa alikuwa anaenda mbeya ( private) kwakuwa alikuwa anaenda mbali nikamwambia pumzika ilikuwa crown athlete bado mbichi nikakamata usukani nikaweka flash yangu ilojaa rhumba uzuri nilimkosha mpaka jamaa na gari ilikuwa inamziki heavy ulochujwa haswaa, jamaa mpaka akalala kabisa sauti ilikuwa ya wastani masaa mawili tu yalitosha kufika moro kwa nyimbo mbili huo 100kilos na ya jean wa madilu system jamaa hakuamin namuamsha round about kuikamata iringa road.ilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hii
😂si Mchezo,Dah we jamaa umenikumbusha tukio mwezi wa nane nilipata emergency kwenda moro nikaenda shekilango kupanda bus, mabus yakawa hadimu na muda umeenda ktk kuwasilana na jamaa zangu nikaonganishwa na jamaa alikuwa anaenda mbeya ( private) kwakuwa alikuwa anaenda mbali nikamwambia pumzika ilikuwa crown athlete bado mbichi nikakamata usukani nikaweka flash yangu ilojaa rhumba uzuri nilimkosha mpaka jamaa na gari ilikuwa inamziki heavy ulochujwa haswaa, jamaa mpaka akalala kabisa sauti ilikuwa ya wastani masaa mawili tu yalitosha kufika moro kwa nyimbo mbili huo 100kilos na ya jean wa madilu system jamaa hakuamin namuamsha round about kuikamata iringa road.