Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.

Bila hivyo!

Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Malezi plus unlimited access to utanda wazi. So wanaiga zaidi
 
Mkuu nakazia hii naanza mtoto wangu mwenyewe kabisa yani havina habar kabisa na kusalimia sijui ndo utatawazi wa kwene luninga hata mimi baba yake hakinisalimii najisemea tu aah hivi vitoto vya mwendokasi sana
 
Tatizo si watoto bali sisi kama wazazi na walezi. Kifupi tumepwaya sana kwenye suala la malezo.

Wale akina dada na kaka wa stendi, bar 24/7, wavaa milegezo na waonesha mapaja ati ndio walio na jukumu la kulea kama wazazi matokeo yake tunapata watu wasiofiti popote kuanzia kwenye maadili, uchapakazi, wenye kujenga, wenye uwezo wa kusoma na kuandika kwa usahihi, n.k
 
Mkuu nakazia hii naanza mtoto wangu mwenyewe kabisa yani havina habar kabisa na kusalimia sijui ndo utatawazi wa kwene luninga hata mimi baba yake hakinisalimii najisemea tu aah hivi vitoto vya mwendokasi sana
Hii comment ndio mfano mzuri sana kwenye huu uzi jinsi wazazi wa leo wanavyolea watoto wao.
 
Back
Top Bottom