Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

Kizazi cha sasa ubovu wake umetokana na walezi/wazazi wa sasa wameshindwa kitimiza majukumu yao, Single parenting kibao na ishaonekana kama sifa/fashion, Wazazi wapo busy kitafuta hela na hawana time ya kulea. Mabinti na Vijana wakipata mimba mzigo anaachiwa bibi,baada ya hapo mwendo wa kupwiyanga na kula bata.

Juzi tu ITV wanadai kwenye treni ya Mwakyembe watoto wanagongana na wengine wanapanda na mabeto/silaha. Hiyo haitoshi kwenye mtaa mmoja nilio kuwa nikikaa nimeshuhudia madogo wa O-Level mapusher wa bangi.

So kama wazazi tujiulize.
 
Tatizo lingine ni hili hapa

Unakuta mshangazi anatoka na kiben teni,sasa hicho kiben teni heshima inashuka kuwaheshimu kina Mama,anaona kama vile nao anaweza kutoka nao tu,

Unakuta kabinti kanatoka kimapenzi na Baba mzima mwenye familia yake,sasa hapo hicho kibinti heshima inashuka kuwaheshimu wababa wote,

Hakuna haja ya kumtafuta mchawi bali lawama ni kwetu sisi na sio kwa hicho kizazi cha leo.
 
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.

Bila hivyo!

Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Mkuu nakazia hii naanza mtoto wangu mwenyewe kabisa yani havina habar kabisa na kusalimia sijui ndo utatawazi wa kwene luninga hata mimi baba yake hakinisalimii najisemea tu aah hivi vitoto vya mwendokasi sana
Umeona tatizo linaanzia wapi?
 
Tatizo lingine ni hili hapa

Unakuta mshangazi anatoka na kiben teni,sasa hicho kiben teni heshima inashuka kuwaheshimu kina Mama,anaona kama vile nao anaweza kutoka nao tu,

Unakuta kabinti kanatoka kimapenzi na Baba mzima mwenye familia yake,sasa hapo hicho kibinti heshima inashuka kuwaheshimu wababa wote,

Hakuna haja ya kumtafuta mchawi bali lawama ni kwetu sisi na sio kwa hicho kizazi cha leo.
Na hio mibaba ipo humu kutwa kujisifia kutembea na vitoto halafu wanahoji maadili yamepotelea wapi.
 
uzi umeandka watoto hajatoa vigezo,,so ni wote tu.
Me ili nipokee shikamoo yako basi nikuzidi walau miaka 5. Na ili nikuamkie kwa hio kauli ya Shikamoo basi unizidi walau miaka 5 .

Kinyume na hapo shikamoo haina matumizi. Salamu nyingine zipo.

(Mtoto afundishwe maamkizi na namna ya kutoa salamu sio neno Shikamoo pekee).
 
Juzi nilienda sehem kununua chapati sehemu 1 huku bunju sasa wakat nasubiri hyo huduma kulikuwa na mechi ya yanga vs azam ile sehem kuna viti kuna bwana mdogo

Alikaa sehem ya watu wawili pekee yake nikamuomba akae vzuri tu kiistarbu kama mdogo wangu umri kama miaka 14,15 alichonijib et mm sisogei njoo ukae huku mbele yule

Nilimtizama jicho kali sana nikaona hii kesi nikapiga makofi mawili ya kichogo nikasepa.

Mm nawaza jinsi nchi yetu inavyouzwa anatokea dogo mmoja anataka kunipa kesi
 
Back
Top Bottom