fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
kizazi mpagao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kizazi mpagao
na njano😆😆Kizazi cha kijani
🤣na njano😆😆
una miaka mingap sasa ili nijue nakupa shkamoo au mamboMe ili nipokee shikamoo yako basi nikuzidi walau miaka 5. Na ili nikuamkie kwa hio kauli ya Shikamoo basi unizidi walau miaka 5 .
Kinyume na hapo shikamoo haina matumizi. Salamu nyingine zipo.
(Mtoto afundishwe maamkizi na namna ya kutoa salamu sio neno Shikamoo pekee).
sio kwel,,mtu sijawahi muona ndo kwanza nimeenda io sehem na kukutana nae,ila nikimsalimia shkamoo tu naulizwa ivo,,au nkimpa mkono kuna style flanii iv hua wanakuna viganja vyetu🤣🤣 hahahaha uiiiiiiiiiiiiiiiMtu anayekwambia hivyo itakua wewe ndio umempa nafasi ya yeye kuweza kukwambia hivyo,inategemea pia na jinsi ulivyojiweka na jinsi unavyodeal nae,
Mtu mzima anayejiheshimu na ambaye hana mazowea ya hovyo na wewe,hawezi kukwambia maneno kama hayo,
Jaribu kuchunguza,hapa tatizo ni wewe na sio hao wanaokwambia hivyo.
watoto wamepagawa
Ndio maana nikakwambia jichunguze jinsi ulivyojiweka,kuanzia mavazi mpaka tabia,sio kwel,,mtu sijawahi muona ndo kwanza nimeenda io sehem na kukutana nae,ila nikimsalimia shkamoo tu naulizwa ivo,,au nkimpa mkono kuna style flanii iv hua wanakuna viganja vyetu🤣🤣 hahahaha uiiiiiiiiiiiiiii
Kwani kuna aliyelazimisha watoto wa sasa kupigwa ndonya, kukeketwa au kutahiriwa kwa panga. Tunaongelea discipline na socialization ambayo hakuna sehemu kwenye maisha haihitajikiMambo ya 1970-80 unataka yaleta leo 2024
Dunia haijabadilika ila system ya maisha imebadilika haina budi kuendana nayo kabla haijakuacha
Ttzo la vijana na kizazi cha sasa kinalazimisha kuishi maisha km ya wazazi wetu wakat ni kitu ambacho akipo na hakitowezekana yatupasa kuishi kulingana na muda na nyakati kulizopo
Wanaume ndoa sku izi zinawashinda sabu mnataka wake zenu waishi na wabihave km mama zenu wakat,
Nyie wenyewe hamuwezi kuishi na kubehave km baba zenu hamuwezi.
Akili mienendo matendo hayafanani naya baba yako ila unataka mkeo aishi km mama yako .
Dunia ya leo miwatu kibao uyo mwanao atasalimia watu wangap na bado uyo mwanao anaweza waheshimu na kuwasalimia mwisho wa sku hao hao anaowasalimia na kuheshimu wakamtongoza na wengne wakamlawiti,.
Zamani jamii nzima ilimchunga mtoto, yani ukikutwa na jirani unafanya utumbo. Anakuadabisha na ukiteleza ukaenda kusema home, kesi inafufuka upya na adhabu yake inakuwa extra.Ni kwelu kabisa.
ila Ndo walivyolelewa na wazazi wao! Wale wazazi wa " unaujua uchungu wa kuzaa wewe"
WAzazi wetu hawakutuleaga hivyo kwanza ikitokea unaamkia baba mdogo na wajomba hueleweki kuna jicho mama anakuangalia unaelewa hapa niamkieje... skuizi hamnaa
ila wewe😂navaa gauni zuri tu refu kabisa,,na shkamoo ya adabu vizur kabisa,, vizee vya saiv ni balaa nduguNdio maana nikakwambia jichunguze jinsi ulivyojiweka,kuanzia mavazi mpaka tabia,
wanaokufanyia hivyo wanakua wameona kuna mwanya na unaingilika,
No offence.
Kuna jibaba moja huko limefungua uzi linajisifia kuvizia vitoto vya miaka 19!Na hio mibaba ipo humu kutwa kujisifia kutembea na vitoto halafu wanahoji maadili yamepotelea wapi.
Kuna katoto kamoja ka-kike miaka 12/13 umbo la miaka 18/19 Ila ni katoto sana kalikua na tabia HIO naona Mama mtu ameliona hilo na Mama yake ananiheshimu sana kakipa ONYO kali sanaYani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
19 wa Mwaka 2000 sio Mtoto HUYO ni Mkubwa Mwenzio anajua Mengi hata usiyoyajuaKuna jibaba moja huko limefungua uzi linajisifia kuvizia vitoto vya miaka 19!
Sawa.19 wa Mwaka 2000 sio Mtoto HUYO ni Mkubwa Mwenzio anajua Mengi hata usiyoyajua
Sasa kama vijana hamtaki Kuoa, na mabinti wanakuza watoto bila baba,unategemea nini?Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.