Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too little too late. Unfortunately.Kama wazazi, tuna wajibu mkubwa kwa maadili ya watoto wetu
Better late than never.Too little too late. Unfortunately.
True.Better late than never.
Ukitaka kuua taifa , ua familia ,Tatizo si watoto bali sisi kama wazazi na walezi. Kifupi tumepwaya sana kwenye suala la malezo.
Wale akina dada na kaka wa stendi, bar 24/7, wavaa milegezo na waonesha mapaja ati ndio walio na jukumu la kulea kama wazazi matokeo yake tunapata watu wasiofiti popote kuanzia kwenye maadili, uchapakazi, wenye kujenga, wenye uwezo wa kusoma na kuandika kwa usahihi, n.k
Kizazi cha kidigitali.Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Hili swala kumbe mnaliona wengi! Nilidhani peke yangu tu unakuta tutoto twa form oneAchana na kusalimia, hawana aibu, haya wala staha. Mfano mzuri ukipanda daladala mida ya jioni utaona viwanafunzi vinaongea ujinga tena kwa nguvu bila kujali, careless
Halafu kuna Kenge anakuja kusema adhabu za viboko zitokomezweSio nyumbani kwangu asee
Nachoshukuru Mungu mama yao pia hayupo nyuma kwenye kuwabakorarize watoto. Ananiunga mkono vzr tuu pale inapobidi. Huwa tunabalance kati ya bakora na kufundidha kwa maneno.Halafu kuna Kenge anakuja kusema adhabu za viboko zitokomezwe
Hizi tabia za kishenzi zimezidi baada ya wanaharakati uchwara kuleta agenda ya kuondoa adhabu kwa watoto .
Ni ushenzi unaolenga kubomoa jamii na taifa kwa ujumla .
Angalia jinsi moral erosion ilivyo kwenye mataifa ya magharibi ,too bad.
Na consequences zake zinaonekana