Side Makini Entertainer
Member
- Jan 19, 2020
- 42
- 80
Malezi plus unlimited access to utanda wazi. So wanaiga zaidiHivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Kizazi cha kijanikizazi kiovu
Hii comment ndio mfano mzuri sana kwenye huu uzi jinsi wazazi wa leo wanavyolea watoto wao.Mkuu nakazia hii naanza mtoto wangu mwenyewe kabisa yani havina habar kabisa na kusalimia sijui ndo utatawazi wa kwene luninga hata mimi baba yake hakinisalimii najisemea tu aah hivi vitoto vya mwendokasi sana
Tofauti ya Junia na Gunia ni herufi moja tu,Wazazi wa hao watoto ndio wa kulaumiwa, wanalea watoto kiJunia Junia
NakaziaTofauti ya Junia na Gunia ni herufi moja tu,
Ukimlea mtoto kijunia tegemea kua atakua gunia tu.
kweli mkuu tatizo ni mzazi.Unamlaumu vipi mtoto wa miaka 5 kuwa hasalimii wakubwa. Tatizo lipo kwa mzazi au mlezi wake sio huyo mtoto mdogo.