Mtembezi Kichomi
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 696
- 993
Hili ndio tatizo kubwa.Tatizo lingine ni hili hapa
Unakuta mshangazi anatoka na kiben teni,sasa hicho kiben teni heshima inashuka kuwaheshimu kina Mama,anaona kama vile nao anaweza kutoka nao tu,
Unakuta kabinti kanatoka kimapenzi na Baba mzima mwenye familia yake,sasa hapo hicho kibinti heshima inashuka kuwaheshimu wababa wote,
Hakuna haja ya kumtafuta mchawi bali lawama ni kwetu sisi na sio kwa hicho kizazi cha leo.
Ukitaka kujua chanzo ni nini then nenda kwenye familia zao halafu utazame aina ya malezi inayoendelea.Achana na kusalimia, hawana aibu, haya wala staha. Mfano mzuri ukipanda daladala mida ya jioni utaona viwanafunzi vinaongea ujinga tena kwa nguvu bila kujali, careless
Chukua hatua mapema.Tatizo ni sisi wazazi wenyewe sasa tizama mtoto wa 4/5 years anapambana kuangalia luninga hadi saa 4 usiku afu hawa wacheza sinema anawajua anakutajia sijui ertugu mara sijui nan ilhali mimi baba mtu hata siwajui
Mtu anayekwambia hivyo itakua wewe ndio umempa nafasi ya yeye kuweza kukwambia hivyo,inategemea pia na jinsi ulivyojiweka na jinsi unavyodeal nae,ndo nikimsalimia ananiuliza nataka kumnyima nini
Waacheni watoto wa 2000 waje kwangu wala msiwazuie.Na hio mibaba ipo humu kutwa kujisifia kutembea na vitoto halafu wanahoji maadili yamepotelea wapi.
Tatizo ni wazazi na waleziHivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Ni kweli mkuu ni weka udhibiti tuChukua hatua mapema.
Wazazi nao wanachangiaHivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Upo kama mimi mtuHakuna salamu ya kishenzi nisiyoipenda kama
Shikamoo
Vijijini gunia linaitwa junia,waliona mbali.Tofauti ya Junia na Gunia ni herufi moja tu,
Ukimlea mtoto kijunia tegemea kua atakua gunia tu.
Unashangaa wakati hiyo tabia umempandikiza weeehMkuu nakazia hii naanza mtoto wangu mwenyewe kabisa yani havina habar kabisa na kusalimia sijui ndo utatawazi wa kwene luninga hata mimi baba yake hakinisalimii najisemea tu aah hivi vitoto vya mwendokasi sana