Kizazi cha sasa ni kizazi jeuri na kiburi

#Kuna mizee mingine ovyo kabisa, ukisalimia shikamoo Mzee utasikia "Mimi sio Mzee, Mimi ni brother"

Mwingine ukimpa shikamoo utasikia "mambo vp, inakuwaje?"
 
Ukitaka kuua taifa , ua familia ,
Misingi ya familia ikioza ,taifa linaoza na kufa
 
Kizazi cha kidigitali.
 
Achana na kusalimia, hawana aibu, haya wala staha. Mfano mzuri ukipanda daladala mida ya jioni utaona viwanafunzi vinaongea ujinga tena kwa nguvu bila kujali, careless
Hili swala kumbe mnaliona wengi! Nilidhani peke yangu tu unakuta tutoto twa form one
 
Sio nyumbani kwangu asee
Halafu kuna Kenge anakuja kusema adhabu za viboko zitokomezwe
Hizi tabia za kishenzi zimezidi baada ya wanaharakati uchwara kuleta agenda ya kuondoa adhabu kwa watoto .
Ni ushenzi unaolenga kubomoa jamii na taifa kwa ujumla .
Angalia jinsi moral erosion ilivyo kwenye mataifa ya magharibi ,too bad.
Na consequences zake zinaonekana
 
Nachoshukuru Mungu mama yao pia hayupo nyuma kwenye kuwabakorarize watoto. Ananiunga mkono vzr tuu pale inapobidi. Huwa tunabalance kati ya bakora na kufundidha kwa maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…