Kizazi cha watoto wa 2000s kinasikitisha sana katika kufuatilia mambo ya msingi

Japo mimi nafikiri na elimu na utandawazi nao ni chanzo cha hiki kizazi kuwa kizito kwenye kufikiri.
Profesor Issa Shivji juzi alikuwa analia na swala la midahalo huko vyuoni ni kweli kizazi cha sasa sio hayo mambo ya midahalo yenye hoja za kujenga taifa wala kuhoji.
Kijana aliyemaliza chuo hana tofauti na ambae hakuendelea na masomo wakati zamani utofauti ulikuwepo mkubwa.
Upo sahihi pia professor Shivji yupo sahihi sana mimi mwenyewe naushuhuda kuhusu hili
 
Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.

Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki kizazi na yule ambae hata darasa la nne wala saba hakumaliza.

Kwa kweli hawa vijana wanasikitisha sana mambo mengi ya msingi hawayafahamu hasa yanayogusa taifa lao sijui tatizo ni nini? Malezi mabovu ya wazazi au ndio utandawazi?

Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s

Hawa watoto sijui ni nini hasa wanavyowaza vichwani mwao.
sawa. tunafanyaje sasa?
 
Tuanze na waliokilea ndio wana tatizo. Maji hufuata mkondo wake. Now ishakuwa too late.
Sasa hivi mnalea chawa hadi mna viongozi ni zao la machawa.
Cancer inaweza anza kama kiupele ukaja kushtuka haitibiki tena imesambaa mwili mzima
 
Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s
60's, 70's, 80's & 90's mna nn Cha maana ambacho mnajivunia na taifa linajivunia?

Bongo vizazi vyote ni vilaza pro max sema tu kwa sababu 2000's ni wakimya na wengi hawajajipata mnawadondoshea jumba bovu
 
Wewe unakijana yoyote wa 2000 au unaongea tu, ninao wawili 2009 na 2006 ila hata kuchija kuku tunatafuta watu kutoka nje hawawezi leo tumepata mbuzi wa Iddi ila suala la nani atuchijie ndo linaniumixa kichwa hiki kizazi acha tu ni useless wanacho elewa ni kua online.
 
Acheni kusingizia eti kizazi Cha 2000s, ndo rahisi kupigwa proganda za ccm, Kwa mara ya kwanza Kizazi Cha 2000s kupiga kura ni mwaka 2020, naamini 50% Wa Kizazi Cha 2000s hawakupiga kura,
Hivyo ccm imewekwa madarakani na inabembelezwa na nyinyi wa Kizazi Cha 1995 kurudi nyuma, hata kura nyinyi ndo mnashiriki kuziiba,
MAKOSA YENU MSIWATWISHE MIZIGO WENGINE.
Mengine uliyoandika yanaweza kuwa sahihi but sio hili la ccm
 
Wewe unakijana yoyote wa 2000 au unaongea tu, ninao wawili 2009 na 2006 ila hata kuchija kuku tunatafuta watu kutoka nje hawawezi leo tumepata mbuzi wa Iddi ila suala la nani atuchijie ndo linaniumixa kichwa hiki kizazi acha tu ni useless wanacho elewa ni kua online.
Mkuu hapo kosa ni la kwako hujawafundisha ila mm nimetokea makabila yanayofanya ufugaji kuchinja unajua bado ukiwa mdogo sana
 
Mkuu kuna mambo ya kujiongeza sio lazima kila jambo ufundishwe mimi sikuwahi kufundishwa kuendesha basikali ila la jua, ila hivi vitoto vyangu basikali haviwezi kuendesha kabisa
 
Wapeleke kijijini mara Moja Moja wajifunze maisha mengine tofauti na wanayoyaishi sasa.
 
Mkuu zingatia maneno haya, ndio muda wake umetimia.

Nanukuu:

"Hard times create strong men. Strong men create good times. Good times create weak men. And, weak men create hard times"

Mwisho wa kunukuu.
Madini ya Kizazi cha 1950 - 1980 si cha akina. Juniors.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
60's, 70's, 80's & 90's mna nn Cha maana ambacho mnajivunia na taifa linajivunia?

Bongo vizazi vyote ni vilaza pro max sema tu kwa sababu 2000's ni wakimya na wengi hawajajipata mnawadondoshea jumba bovu
Ukimya gani nakati wengi wao ni waimba taarabu, singeli na nyimbo za matusi matusi tele?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Mkuu zingatia maneno haya, ndio muda wake umetimia.

Nanukuu:

"Hard times create strong men. Strong men create good times. Good times create weak men. And, weak men create hard times"

Mwisho wa kunukuu.
Nukuu imenibamba
 
Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.

Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki kizazi na yule ambae hata darasa la nne wala saba hakumaliza.

Kwa kweli hawa vijana wanasikitisha sana mambo mengi ya msingi hawayafahamu hasa yanayogusa taifa lao sijui tatizo ni nini? Malezi mabovu ya wazazi au ndio utandawazi?

Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s

Hawa watoto sijui ni nini hasa wanavyowaza vichwani mwao.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja. Hiki ni kizazi ambacho kutokana na smart phone kimejikuta hata akili zao ziko kama Smart phone bila program tumishi hakiwezi kwenda. Hakiwezi kuhoji, hakiwezi kujenga hoja, hakiweza kuweka juhudi kwenye mambo ya msingi. Nikizazi kinachoamini kwenye kusaidiwa na kufanyiwa kila kitu, Ni kizazi kinachoamini bila connection hakiwezi kutoboa.
Msomi wa chuo kikuu hana tofauti na form four wa miaka 90, ajabu hiki ndo kizazi ambacho kiko kwenye kipindi ambacho upatikanikaji wa taarifa ni rahisi sana.
Sijajua tatizo letu liko wapi.
 
Back
Top Bottom