Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Upo sahihi pia professor Shivji yupo sahihi sana mimi mwenyewe naushuhuda kuhusu hiliJapo mimi nafikiri na elimu na utandawazi nao ni chanzo cha hiki kizazi kuwa kizito kwenye kufikiri.
Profesor Issa Shivji juzi alikuwa analia na swala la midahalo huko vyuoni ni kweli kizazi cha sasa sio hayo mambo ya midahalo yenye hoja za kujenga taifa wala kuhoji.
Kijana aliyemaliza chuo hana tofauti na ambae hakuendelea na masomo wakati zamani utofauti ulikuwepo mkubwa.
sawa. tunafanyaje sasa?Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.
Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki kizazi na yule ambae hata darasa la nne wala saba hakumaliza.
Kwa kweli hawa vijana wanasikitisha sana mambo mengi ya msingi hawayafahamu hasa yanayogusa taifa lao sijui tatizo ni nini? Malezi mabovu ya wazazi au ndio utandawazi?
Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s
Hawa watoto sijui ni nini hasa wanavyowaza vichwani mwao.
Tuanze na waliokilea ndio wana tatizo. Maji hufuata mkondo wake. Now ishakuwa too late.Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.
Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki kizazi na yule ambae hata darasa la nne wala saba hakumaliza.
Kwa kweli hawa vijana wanasikitisha sana mambo mengi ya msingi hawayafahamu hasa yanayogusa taifa lao sijui tatizo ni nini? Malezi mabovu ya wazazi au ndio utandawazi?
Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s
Hawa watoto sijui ni nini hasa wanavyowaza vichwani mwao.
60's, 70's, 80's & 90's mna nn Cha maana ambacho mnajivunia na taifa linajivunia?Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s
Wewe unakijana yoyote wa 2000 au unaongea tu, ninao wawili 2009 na 2006 ila hata kuchija kuku tunatafuta watu kutoka nje hawawezi leo tumepata mbuzi wa Iddi ila suala la nani atuchijie ndo linaniumixa kichwa hiki kizazi acha tu ni useless wanacho elewa ni kua online.60's, 70's, 80's & 90's mna nn Cha maana ambacho mnajivunia na taifa linajivunia?
Bongo vizazi vyote ni vilaza pro max sema tu kwa sababu 2000's ni wakimya na wengi hawajajipata mnawadondoshea jumba bovu
Acheni kusingizia eti kizazi Cha 2000s, ndo rahisi kupigwa proganda za ccm, Kwa mara ya kwanza Kizazi Cha 2000s kupiga kura ni mwaka 2020, naamini 50% Wa Kizazi Cha 2000s hawakupiga kura,Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s
Mkuu hapo kosa ni la kwako hujawafundisha ila mm nimetokea makabila yanayofanya ufugaji kuchinja unajua bado ukiwa mdogo sanaWewe unakijana yoyote wa 2000 au unaongea tu, ninao wawili 2009 na 2006 ila hata kuchija kuku tunatafuta watu kutoka nje hawawezi leo tumepata mbuzi wa Iddi ila suala la nani atuchijie ndo linaniumixa kichwa hiki kizazi acha tu ni useless wanacho elewa ni kua online.
Mkuu kuna mambo ya kujiongeza sio lazima kila jambo ufundishwe mimi sikuwahi kufundishwa kuendesha basikali ila la jua, ila hivi vitoto vyangu basikali haviwezi kuendesha kabisaMkuu hapo kosa ni la kwako hujawafundisha ila mm nimetokea makabila yanayofanya ufugaji kuchinja unajua bado ukiwa mdogo sana
Wapeleke kijijini mara Moja Moja wajifunze maisha mengine tofauti na wanayoyaishi sasa.Mkuu kuna mambo ya kujiongeza sio lazima kila jambo ufundishwe mimi sikuwahi kufundishwa kuendesha basikali ila la jua, ila hivi vitoto vyangu basikali haviwezi kuendesha kabisa
Mkuu hatuna kijiji labda shule ya bweni kijijini ila watagoma tu.Wapeleke kijijini mara Moja Moja wajifunze maisha mengine tofauti na wanayoyaishi sasa.
Mgosi hao watoto waache ipo siku watakuja kua ngangari kuliko wwMkuu hatuna kijiji labda shule ya bweni kijijini ila watagoma tu.
Madini ya Kizazi cha 1950 - 1980 si cha akina. Juniors.Mkuu zingatia maneno haya, ndio muda wake umetimia.
Nanukuu:
"Hard times create strong men. Strong men create good times. Good times create weak men. And, weak men create hard times"
Mwisho wa kunukuu.
Ukimya gani nakati wengi wao ni waimba taarabu, singeli na nyimbo za matusi matusi tele?60's, 70's, 80's & 90's mna nn Cha maana ambacho mnajivunia na taifa linajivunia?
Bongo vizazi vyote ni vilaza pro max sema tu kwa sababu 2000's ni wakimya na wengi hawajajipata mnawadondoshea jumba bovu
Nukuu imenibambaMkuu zingatia maneno haya, ndio muda wake umetimia.
Nanukuu:
"Hard times create strong men. Strong men create good times. Good times create weak men. And, weak men create hard times"
Mwisho wa kunukuu.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja. Hiki ni kizazi ambacho kutokana na smart phone kimejikuta hata akili zao ziko kama Smart phone bila program tumishi hakiwezi kwenda. Hakiwezi kuhoji, hakiwezi kujenga hoja, hakiweza kuweka juhudi kwenye mambo ya msingi. Nikizazi kinachoamini kwenye kusaidiwa na kufanyiwa kila kitu, Ni kizazi kinachoamini bila connection hakiwezi kutoboa.Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.
Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki kizazi na yule ambae hata darasa la nne wala saba hakumaliza.
Kwa kweli hawa vijana wanasikitisha sana mambo mengi ya msingi hawayafahamu hasa yanayogusa taifa lao sijui tatizo ni nini? Malezi mabovu ya wazazi au ndio utandawazi?
Moja ya kizazi kitakachokuwa rahisi sana kupigwa propaganda na kutawaliwa na CCM basi ni hiki kizazi cha watoto wa 2000s
Hawa watoto sijui ni nini hasa wanavyowaza vichwani mwao.
Mkuu hao wa 2000 hamna lolote sidhani kama watakuja kujifunza.Mgosi hao watoto waache ipo siku watakuja kua ngangari kuliko ww