Kizazi cha watoto wa 2000s kinasikitisha sana katika kufuatilia mambo ya msingi

Mkuu zingatia maneno haya, ndio muda wake umetimia.

Nanukuu:

"Hard times create strong men. Strong men create good times. Good times create weak men. And, weak men create hard times"

Mwisho wa kunukuu.
Ni kama nimekuelewa saana kiongozi, nyakati ngumu zilifanya watu kuwa ngangari na kuamua kupambana na katika kupambana wakajipata wakawa na maisha fulani amaing, kutokana na maisha hayo tukazaa watoto na kuanza kuwalisha chips mayai na kuku wa wiki tatu na watoto badala ya kucheza nje ya nyumba mtaani wakaanza kuchezea play station na kuangalia cantoon masaa yote, Shule tukawapeleka zile ambazo hata darasa hawafagii.
Shuleni nako mwalimu anampatia mtoto homework ambayo mtoto anaileta nyumbani ambapo inafanywa na mzazi alafu mtoto anarudisha shule inasahihisha.

Amefika chuo assignment na course work anafanya kwa kutumia BOT ya ChatGPT3.5 mwenye uwezo anatumia 4.0, akiitoa hapo anaipitisha kwenye Grammar check mwisho wa siku GPA 3.8 na kuendelea, akirudi kitaa anamkuta msela waliachana darasa saba ameshajipata, anaanza tena kumwuliza mishe gani inalipa mtaani.
 
Maisha ni kujiongeza ila watoto wa miaka ya hivi karibuni craetivity yao nje ya IT au simu ni sufuri, mpaka tunaanza kutamani watoto walioko vijijini japo na wenyewe wanachangamoto zao nyingi tu.
 
Kizazi kinawaza Bitcoin, Betting, Connection, Amapiano na Shisha. Alaumiwe CCM mama wa ujinga.
 
Maisha ni kujiongeza ila watoto wa miaka ya hivi karibuni craetivity yao nje ya IT au simu ni sufuri, mpaka tunaanza kutamani watoto walioko vijijini japo na wenyewe wanachangamoto zao nyingi tu.
Wa vijíini watakuja kudominate muda wale wa kwetu wa mjini watakuwa segerea wakiwa na kesi za kudanganya system na kuchepusha mamilioni kwa njia ya mtandao
 
[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…