Kizungumkuti cha mtu akifa anaenda wapi? Maoni ya watu na imani mbalimbali duniani

Hapo kwenye wahindu na wabudha ni kitu kimoja... Waislam na wakristo pia ni kitu kimoja kuna kundi moja hapo hujalitaja... Kundi lisiloamini katika imani yoyote katika hizo
 



King James VersionEcclesiastes 9:10

  • 10. Whatsoever thy hand findeth to do, do it with thy might; for there is no work, nor device, nor knowledge, nor wisdom, in the grave, whither thou goest.
 


hatari tupu
 
Kwangu mimi,mtu akifa haendi popote na haishi popote.Ni sawa ma kipindi ambacho mtu alikuwa hajazaliwa anakua hayupo popote na hajui lolote,ukifa umekufa hakuna cha moto wala pepo..
Mkuu unaposema mtu ambaye hajazaliwa unakusudia mtu (mtoto) ambaye yupo tumboni? au unakusudia kabla hata kuwa mtu?
 
Umeandiki ki dini zaidi badala ya hoja mkuu, hata hivyo hongera
 
Ok mie nipo hapa nioneshe hicho kifo,maana umesema kifo hakipo bila mie kuwepo na ndiyo nipo sioni kifo.
 
kifo ni kama kulala usingizi mzito, wafu hawajui neno lolote , umenikumbusha wimbo wa Remy Ongala unasema kifo hakina huruma
 
je wajua kuna tofauti kati ya mtu kufa na kufariki?
je unajua mtu akifa au kufariki ubongo wake unaweza kuingia ndotoni kwa muda wa dakika 45 had 50?
 
ukiwa hai unakitazama kifo ukifa kifo kinawatizama wengine.
 
Kwanza ili tujue ni wapi tunaelekea baada ya kufa,ni lazima tujiulize chanzo cha uhai wetu,tulitokea wapi?.The one who created us determines our destiny.
 
Sasa nikuulize swali, gari si limetengenezwa na binadamu na lina asli yake (yaani mavyuma) sasa nani aliyemfanya mwanadamu?
 

“I regard the brain as a computer which will stop working when its components fail,” he told the Guardian. “There is no heaven or afterlife for broken down computers; that is a fairy story for people afraid of the dark.”

http://time.com

sio mfuasi wake, na siamini katika maoni yake yote, ila naamini nusu ya kauli yake kuhusu kufa kama mwili umefeli na brain nayo ikakoma mtu hatunae na baadae ataoza.

Lakini imani hii inamfanya Mtu huyu kufa kama mbwa au kimburu.
hapo nasema hapana, baada ya kifo haijalishi utakaa katika hali hiyo ya kuharibika na uozo kwa miaka mingapi lakini Kuna siku ya ufufuo na Ipo hukumu ya Haki.

Imani hii kwa wapenzi wa bibilia ndiyo waliokuwa nayo wote walioorodheshwa katika kitabu cha waebrania 11.
Walitarajia Yasiyoonekana.
Hata ibrahim aliishi katika hema yeye na watoto na wajukuu wake lakini alitarajia Mji ambao haujajengwa kwa mikono ya wanadamu.
Wote hawa walikufa pasipokupokea hiyo ahadi.

Imani ni kuwa na hakika na mambo yasiyoonekana,

Afterdeath scenario haiwezi kuelezewa kwa lugha yoyote isipokuwa umejumuisha imani bila kujali ni potofu au halali.
zaidi ya hapo uchague kufa kama afavyo nyumbu serengeti bila kuwa na tumaini lolote.
 
Mimi naamini kuwa, kufa ni hali ya moyo kushindwa kusukuma damu. Hivyo hufanya viungo vyote kushindwa kufanya kazi yake na kupelekea milango ya fahamu kushindwa kutoa taarifa.

Ndio maana ili ujue mtu kafa, lazima uangalie mapigo ya moyo

Na mtu akisha kufa, haendi popote, huo ndo unakua mwisho wake
 
Kufa means the end of living
Huendi popote, kwani hata kabla ya kuzaliwa hukuwa popote
 
Hawa budha kidogo wana make sense nafikiri we are all rotated in life and death
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…