Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Popote,uwe tumboni au hujaingia tumboni,maana mtoto akiwa tumboni hajui yupo wapi sisi tuliopo duniani ndo tunajua kuna mtoto tumboni,na pia mtu akifa tunajua tumemzika chini..YEYE HAJUI CHOCHOTE....HAKUNA MOTO WALA PEPO.Mkuu unaposema mtu ambaye hajazaliwa unakusudia mtu (mtoto) ambaye yupo tumboni? au unakusudia kabla hata kuwa mtu?