Kizungumkuti cha mtu akifa anaenda wapi? Maoni ya watu na imani mbalimbali duniani

Kizungumkuti cha mtu akifa anaenda wapi? Maoni ya watu na imani mbalimbali duniani

Nami kama Atheists, naamini kuwa kuwa ukifa imetoka na hatuna tofauti kama anapokufa kuku au kiumbe chochote chenye pumzi. Kinachotuchanganya ni conscience or consciousness. Naamini hakuna moto au kiama au maisha ya milele. Ni mawazo ya kijinga kuwa kuwa ukifa kuna kufufuka, wala makaburi kufumka. Maisha ni haya, yakiisha, BASI. So what we need, is to be kind, generous, sympathetic, giving smiles to people, loving people, forgiving without any revenge, enjoying life without annoying any one, making your god to be the one you are close to (person). Mengine yote ni kudanganyana na kuibiana tu bila huruma. All revival churches are characterized with theft, except the normal churches which are for peace, harmony, justice and love, living as humans.
ukiizoom point yako inaonekana sababu kubwa ya kuwaunga mkono hao jamaa ni kukatishwa tamaa na uongo na ulaghai wa Revival Churches.
 
Sio tu mtu akifa , chochote chenye uhai ! Kama ni kweli hizo roho zote zingekaa wapi ?? Hakuna maisha baada ya kufa ila pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom