Popote,uwe tumboni au hujaingia tumboni,maana mtoto akiwa tumboni hajui yupo wapi sisi tuliopo duniani ndo tunajua kuna mtoto tumboni,na pia mtu akifa tunajua tumemzika chini..YEYE HAJUI CHOCHOTE....HAKUNA MOTO WALA PEPO.Mkuu unaposema mtu ambaye hajazaliwa unakusudia mtu (mtoto) ambaye yupo tumboni? au unakusudia kabla hata kuwa mtu?
Sasa hapo mkuu wewe unawezaje kujua kuwa mtu akifa anakuwa hajui chochote na si vinginevyo?Popote,uwe tumboni au hujaingia tumboni,maana mtoto akiwa tumboni hajui yupo wapi sisi tuliopo duniani ndo tunajua kuna mtoto tumboni,na pia mtu akifa tunajua tumemzika chini..YEYE HAJUI CHOCHOTE....HAKUNA MOTO WALA PEPO.
There is life after death.... But nothing is the number when you die.....Ukifa ndo basi tena
Not to that perfection... Kwanini kuna ongezeko la watu?Hawa budha kidogo wana make sense nafikiri we are all rotated in life and death
Ukifa umekufa.Sasa hapo mkuu wewe unawezaje kujua kuwa mtu akifa anakuwa hajui chochote na si vinginevyo?
Maana hata mfano wa mtoto ambaye hajazaliwa hata kama kweli hajui alipo ila hiyo haiondoi uwepo wake tumboni.
Na ndio maana hata katika historia ya dunia nje ya mambo ya kiimani anatambulika.. Na ndie aliyebadili mfumo wa hesabu kutoka 1>>>>0, mpaka 0>>>1Huwezi kunishawishi kwamba story za Yesu ni za kutunga tu, mtu huyu alikuwepo na aliishi nasi.
Kabisa, watu wasioamini hili wanashangaza sana.Na ndio maana hata katika historia ya dunia nje ya mambo ya kiimani anatambulika.. Na ndie aliyebadili mfumo wa hesabu kutoka 1>>>>0, mpaka 0>>>1
ha hahaaalazima mpate kizungumkuti,mambo ya watu waliokufa nyinyi mpo hai mtayajuaje na kuwa na uhakika nayo???halafu msiwe na haraka mtakufa tu mtajionea wenyewe mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.
naungana na wewe Yesu hapingiki. Ila mambo yake yanahitaji Imani zaidi ya kuona.Kabisa, watu wasioamini hili wanashangaza sana.
usipite mkuu wangu.[emoji125] mi napita tu wakuu
hapo kuna ujinga wa dini (kama unavyouita) na ujinga wa wasio na dini.Mtu atendaje "wapi" wakati akifa anaacha ku exist?
Acha kulishwa ujinga wa dini
kama mtu ambaye nimechagua maisha ya kuonekana na yasiyo yakuonekana (Imani). naunga mkono hoja mkuu wa msata.Na ndio maana hata katika historia ya dunia nje ya mambo ya kiimani anatambulika.. Na ndie aliyebadili mfumo wa hesabu kutoka 1>>>>0, mpaka 0>>>1
hapo kuna ujinga wa dini (kama unavyouita) na ujinga wa wasio na dini.
naomba maoni ya werevu wako mkuu. kile tunachokizika huwa hakiexist au. farao aliyekaushwa tangu ezi na ezi vipi existence hapo inaingiaje na inatokaje.
tupe madini mkuu.
mkuu kama ndiyo hivyo. ilitokeajetokeaje bila kupanga watu bila kujali imani au sayansi zao za kijamii kukuta wanaamini mkanganyiko wa mambo haya na afterdeath scenario.Ukifa umekufa.
nimekupata mkuu.Pharaoh kukaushwa sio kitu cha kushangaza. Hata Vladmir Lenin amekaushwa.
Naongelea Human Consciousness. Ile hali ya kujitambua. Ukifa haiwezi kurudi.
Labda baadae teknolijia ikiongezeka wataweza ku save human consciousness kwenye computer kama vile una save folder
Mimi nimechagua kuwa mkristo... Mwamini katika Mungu mmoja kwakuwa nimeuona ukwelikama mtu ambaye nimechagua maisha ya kuonekana na yasiyo yakuonekana (Imani). naunga mkono hoja mkuu wa msata.