Kizungumkuti cha mtu akifa anaenda wapi? Maoni ya watu na imani mbalimbali duniani

ukiizoom point yako inaonekana sababu kubwa ya kuwaunga mkono hao jamaa ni kukatishwa tamaa na uongo na ulaghai wa Revival Churches.
 
Sio tu mtu akifa , chochote chenye uhai ! Kama ni kweli hizo roho zote zingekaa wapi ?? Hakuna maisha baada ya kufa ila pambana na hali yako
 
lazima mpate kizungumkuti,mambo ya watu waliokufa nyinyi mpo hai mtayajuaje na kuwa na uhakika nayo???halafu msiwe na haraka mtakufa tu mtajionea wenyewe mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.
umeongea kwa hekima sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…