Kizungumkuti cha ndoa!

BADILI TABIA,
Nadhani haujamwelewe vizuri kuhusu dhana ya kuwa na uamuzi wa mwisho. Kwanza nikubaliane na wewe kuhusu dhana shirikishi. Lakini ktk dhana hiyo lazima maamuzi yafikiwe, ushirikishwaji lazima kuwe na kiongozi wake ambapo sasa mtasema haya tumekubaliana na pale msipokubaliana ni vema kura ya turufu ikafanya kazi yake (Mwanaume), hapo ndio tunaposema mwanaume ni kichwa cha familia.
 
Da Cantalisia Una busara sana...

binafsi sikatai kwamba wanawake hawawezi .. kuna ma miss independent wengi mnoo nimekutana nao wanapiga kazi hadi utawashangaa but end of the day kuna jambo lazima atafuata ushauri toka kwa mwanaume ...
 
Mbona nishashuka na mtoto ashaanza kuelewa si unaona alivyokuwa mpoleeeeeee..(Canta usisome hapa)

Hakuna kitu hapo,madem ndivyo walivyo,hung'oi kitu,utaishia kuona tu!
 
Khaaaa!unanisingizia!
Mbona sijaona mistari yenyewe?
Kwanza username yako ina maana gani?kwa kiswahili fasaha?

Ha,ha,ha,haaa,nimewaambia hamng'oi kitu hapa!
 
Da Cantalisia Una busara sana...

binafsi sikatai kwamba wanawake hawawezi .. kuna ma miss independent wengi mnoo nimekutana nao wanapiga kazi hadi utawashangaa but end of the day kuna jambo lazima atafuata ushauri toka kwa mwanaume ...
Asante njiwa,
Ni kweli kbs ila ndio hivyo watu tunatofautiana mitazamo,
Nawengine hata wakibisha ukiwakuta makwao utashaangaa ni tofauti na maneno yao kbs.
 
Hujaielewa kauli ya ODM,
Muulize anamaanisha nn kusema mie kuku wake manati ya nn?
Alafu ulishawahi kumsikia mtu anaitwa KLOROKWINI?

Ngoja aje ajibu haka kaswali!Kloro ni Lowyer ngoja aje,nae rijui kajichimbia wapi?
 
Khaaaa!unanisingizia!
Mbona sijaona mistari yenyewe?
Kwanza username yako ina maana gani?kwa kiswahili fasaha?
Muulize babu yako.... au unamwogopa? Halafu Kloro mbona hommie tu, wewe unadhani kwa nini hajaongea kitu hadi mida hii??
 
Taarifa za kiintelijensia huku PM zinasema kaka mdogo ombi lako linafanyiwa kazi na matarajio ya mafanikio ni makubwa sana. Ongea maombi.

Hao,hao,hao,hao wasiojua kusema....Wanasema yasiokua yamaaaanaa....Ha,haaa huna lolote Babu!
 
Muulize babu yako.... au unamwogopa? Halafu Kloro mbona hommie tu, wewe unadhani kwa nini hajaongea kitu hadi mida hii??

Sasa swali lako atajibu vipi mtu mwingine?Acha uoga!
 
Muulize babu yako.... au unamwogopa? Halafu Kloro mbona hommie tu, wewe unadhani kwa nini hajaongea kitu hadi mida hii??
Nimwogope babu yangu tena!
Keshanambia maana yake,inatisha lol!
Mda huu kloro yuko mahakamani siunajua fildi yake ngoja akirudi na akaona hizi sera zako hapa utajuta,
Babu anakupoteza keshakula advance ya mahari yangu kwa Kloro!
Unalijua hilo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…