Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Haaaa haaa haaaa!We bwabwaja tu, Canta ni kuku wangu mwenyewe, manati ya nini?
Uwiiii!jaman mbavu zangu mie!
Huyo ndio ODM,mzee anayeongoza kuwa na lundo la wajukuu!
EIYER upo hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaa haaaa!We bwabwaja tu, Canta ni kuku wangu mwenyewe, manati ya nini?
Mbona nishashuka na mtoto ashaanza kuelewa si unaona alivyokuwa mpoleeeeeee..(Canta usisome hapa)Ha,ha,ha,haaa,dude!Umekujae!Mtoto yupo hapo mwaga vesi!
Huyu anakuingiza chaka,bora umtafute Kloro au Rocky,hawa afadhali kidogo!
We bwabwaja tu, Canta ni kuku wangu mwenyewe, manati ya nini?
Babu anasemaaaaaa.....mdogo wake amefika beiAsante Babu,
Raha sana kupendwa na babu lol!
wanaume bwana,
kwanini uwe na uamuzi wa mwisho?
kwa nini msiwe na uamuzi wa pamoja? kujadiliana kwa pamoja nini cha kufanya?
kwa nini msipange priority zenu pamoja?
kwa nini msishirikiane kwa pamoja?
mtabishana humuuu weeeeeeee, mtajiita vichwa aka taasisi huru weeee...
lakini mwisho wa siku nyumba yenye mafanikio ni ile inayosikilizana na kushirikiana kwa pamoja, ambayo kila mwanandoa anaweza kujieleza kwa uhuru
Punguza hasira mkuu,
Unajua haya mambo kila mtu ana uelewa wake kulingana pia na malezi,
Alafu kuna baadhi ya mambo ambayo wanawake tunatakiwa kuyakubali(japo wenzangu wengi hawapendi) tu na sikubishana,
Hata ikiwaje hatuwezi kuwa sawa na MWANAUME,tunachofanya ni kubishana tu na kujibebesha majukumu ambayo si ya kwetu na mara nyingi huwa tunachemka!
Km upendo,ushirikiano na heshima ndani ya nyumba ipo basi wadhifa wa baba na ubaki kuwa pale pale usiingiliwe na chochote!
Khaaaa!unanisingizia!Mbona nishashuka na mtoto ashaanza kuelewa si unaona alivyokuwa mpoleeeeeee..(Canta usisome hapa)
Hujaielewa kauli ya ODM,Babu anasemaaaaaa.....mdogo wake amefika bei
Taarifa za kiintelijensia huku PM zinasema kaka mdogo ombi lako linafanyiwa kazi na matarajio ya mafanikio ni makubwa sana. Ongea maombi.Mwambie wewe big brother inaonekana bado hajaelewa huyu.
Asante njiwa,
Da Cantalisia Una busara sana...
binafsi sikatai kwamba wanawake hawawezi .. kuna ma miss independent wengi mnoo nimekutana nao wanapiga kazi hadi utawashangaa but end of the day kuna jambo lazima atafuata ushauri toka kwa mwanaume ...
Muulize babu yako.... au unamwogopa? Halafu Kloro mbona hommie tu, wewe unadhani kwa nini hajaongea kitu hadi mida hii??Khaaaa!unanisingizia!
Mbona sijaona mistari yenyewe?
Kwanza username yako ina maana gani?kwa kiswahili fasaha?
Taarifa za kiintelijensia huku PM zinasema kaka mdogo ombi lako linafanyiwa kazi na matarajio ya mafanikio ni makubwa sana. Ongea maombi.
Khaaaa,Babu?Taarifa za kiintelijensia huku PM zinasema kaka mdogo ombi lako linafanyiwa kazi na matarajio ya mafanikio ni makubwa sana. Ongea maombi.
Nimwogope babu yangu tena!Muulize babu yako.... au unamwogopa? Halafu Kloro mbona hommie tu, wewe unadhani kwa nini hajaongea kitu hadi mida hii??