Kizungumkuti hifadhi ya Burigi

Asante sana kwa maelezo mazuri ya kina na yenye mashiko
Haya sasa wapotoshaji karibuni
 
Nasikia wanyama wote waliopelekwa huko Burigi wamehamia nchi fulani: wakamtwe!
 
Punguza porojo
Watalii waende chattle waache Arusha Kilimanjaro Ruaha Mikumi
Mbuga ya kutengenezwa ni matumizi mabaya ya pesa ya walipa kodi
Angejenga Hospitali labda
 
Nchi kuna mbuga nyingi za wanyama mbona viwanja vya ndege havijajengwa?

Haya tuambie tangu kukamilika kwa uwanja wa chato kuna ndege gani zinatua hapo kama si ndege ya Rais tu.
 
Ungeweka na idadi ya ndege za kibiashara au za kitalii zinazotua hapo tangu kumalizika kwa uwanja na uwepo wa hiyo hifadhi ya wanyama.

Kama hauna, alichosema TL kitabaki sahihi labda kama kinauma
Na kwa taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa wengi wa wanyama wanaopelekwa burigi huvuka mpaka kwenda nchi jirani na kuuawa.
 
Mbona Mkapa alikuwa karibu na Selous lakin hajaweka. Wew haujielewi. Hata jiografia ya kuka hauijui vzr wengine ni wazaliwa kabisa wa uko. Unachekwa kichina. Aliyekuandaa kijibu hoja ya Lisu mwambie akuweke vzr zaid alaf tutakuja kuambia ukweli. Kwa taarifa yako baada ya Mzee Baba kumaliza mda wake ule uwanja yatakuwa machungio ya mbuz kama ilivyo ya Mobutu Seseco wa Zaire DRC sas
 
Nilikuwa sina taarifa kama Lissu amezungumzia hili, lakini sasa inabidi nitafute hiyo clip nitazame.

Kitu niaminicho ni hiki, Lissu hakosei ktk sehemu kama hizi.
 
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kuweka Lami hapo Chato ilihali Serengeti baba lao hana lami wala Musoma airport lami hakuna mpaka leo... unajibuje hapo?
Lami ilitangulia kabla
 
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kuweka Lami hapo Chato ilihali Serengeti baba lao hana lami wala Musoma airport lami hakuna mpaka leo... unajibuje hapo?
Watalii wangapi wanaokwenda Serengeti wanafikia Musoma Airport!? Vituo vya utalii kwa Hifadhi ulizotaja Ni Moshi na Arusha kwa maana ya KIA, na Mwanza ambayo upanuzi unaendelea. Kwa Pori la Burigi itakuwa Chato na Bukoba na Mwanza.

Ndani ya Hifadhi tunazo runway za kiwango Cha changarawe kwa ajili ndege ndogo.

Ila kupanga ni kuchagua tukienda na nadharia hizi tutashindwa.. kisa wewe ulitembea km5 kwenda shule Basi humlipii mwanao school bus fees.

Hii sio 1975 hii Ni Tanzania ya 2020 ya uchumi wa kati tunafanya Kama watu wa uchumi wa Kati. Watoto tunaowazaa leo wanakula mema ya nchi...hela ipo. Naona mnataka na nyie wazee mnunuliwe video game muishi Kama watoto wa sasa
 
Lami ilitangulia kabla
Lami itangulie kabla au la, watu wangependa kuona JPM anafuata mifano ya watangulizi wake- ya kutopendelea zaidi nyumbani kwao... Uki soma humu utagundua malalamiko pia kwamba ana spend siku nyingi sana chato... na wengine wameenda mbili na kuuliza kwamba kama hata nyongeza haikuwepo, hizo pesa anazogawaga huko njiani huwa zinatoka wapi ikiwa mshahara wake unajulikana ?

ingependeza zaidi kuona JPM anafuata watangulizi wake- ingawaje sio sheria mahali popote- ni unwritten rule...
 
“Ndani ya Hifadhi tunazo runway za kiwango Cha changarawe kwa ajili ndege ndogo”... ingependeza zaidi kuona hiyo chato kama vilivyo viwanja vingine...passenger numbers za Musoma na shinyanga airports ( kusiko kuwa na lami) ni nyingi zaidi kuliko chato...malumbano mengine hayakuhitajika kama lami ilikuwa ni business case...
 
Wakija watalii musoma wanakuwa na lengo la kwenda kubembelea wapi Sasa... Maana nishakwambia miundombinu wezeshi ya biashara ya utalii kwa Serengeti iko Arusha Moshi na Mwanza Sasa hii ya musoma tukuwekee atumie nani!? Musoma iko chini ya km 250 toka Mji wa kibiashara wa Mwanza ambako Huduma nyingi na bidhaa zinapatikana Nani ataruka kutoka Mwanza kwenda Musoma asipande Zuberi kupunguza gharana na stress!?

Kuwekwa lami njia hizo kutakuja na ongezeko la wasafiri.. mbona Morogoro Ni kubwa kuliko Musoma na Shinyanga na Haina huo uwanja mkubwa!? Haina maana Kimkakati kuweka uwanja Moro wakati barabara zikiboreshwa Ni safai ya masaa matatu tu.

Kwa chato ile Ni pull factor kwa watalii na uwanja ule haujajengwa ndani ya Hifadhi umejengwa Mjini chato na ndio uwanja pekee mkubwa ndani ya mkoa wa Geita ..ubaya uko wapi.

Kwa mkoa wa Geita chato ndio eneo la kimakakati kuwekwa transportation Node.. Barabara Kuu inapita, Uwanja wa ndege upo na mji uko pembezoni mwa Ziwa kea usafiri wa Majini na zaidi pako mbali na center kubwa Kama Mwanza, Kahama na Bukoba. Sasa Kama sio chato kwa mkoa wa Geita unataka Uwanja huu ujengwe wapi!?
 
Reactions: RMC
Jengeni kila wilaya ya Tanzania viwanja vya lami... hapo ndipo ataeleweka... vinginevyo ni porojo tu... chato haina business case ya kuwekewa lami hadi labda 20 years toka sasa.. kama una business case, tuwekee hapo... iweje chato iwe na lami ilihali Shinyanga, Tabora, Songea, etc Hakuna? kulikuwa kuna haraka gani kuweka lami huko chato kimkakati kuliko sehemu nyingine zenye mkakati muhimu kabisa kuliko chato ?
Anyway, ili ueleweke... jengeni viwanja vyote nchini kwa lami...
 
Hoja yako ni Nini.
Maana early 1800 Dar ilikuwa ndogo kuliko Bagamoyo where is Dar today!? Tungeenda hivyo Uwanja wa ndege mkubwa ungejengwa Tanga kabla ya DSM.

Nimemwambia tuanzie kwenye mikoa, kea ngazi ya mkoa Uwanja was ndege Shinyanga utakuwa na mashiko ukijengwa Kahama kuliko Kishapu na Shinyanga Manispaa kwa sababu zilizo wazi.. kea mkoa wa Kagera umejengwa Bukoba, Kwa Katavi utapaswa kuwa Mpanda .. kwa Geita Hair sehemu Strategic zaidi ya Chato Sasa Kama wewe unaijua si utuambie kwa mkoa wa Geita labda Mbogwe au bugombe(ushirombo) kungefaa..

Swala la lami linakwenda na kipato.. Uwanja ujenzi wake umekuwa commissioned wakati pesa tunazo.. Sasa shida iko wapi kuwa njia ya kurukia ya lami!? Na haimaanishi ndani ya Hifadhi hakutakuwa na viwanja vya changarawe pia.
 
Reactions: RMC

Ndugu, tafadhali sana, malumbano ya afya ni kwa wewe utuwekee business case inayo support arguments zote hapo juu ( arguments zote ulizoweka) za Chato ni bora kuwa na lami kuliko serengeti yenye kuingiza watalii mara mia ya Chato...
 
Ndugu, tafadhali sana, malumbano ya afya ni kwa wewe utuwekee business case inayo support arguments zote hapo juu ( arguments zote ulizoweka) za Chato ni bora kuwa na lami kuliko serengeti yenye kuingiza watalii mara mia ya Chato...
Unakuwa mzito Sana.. tangu uanze kusikia lini umepata kuona watali wanatoka ulaya wanatua Serengeti!? .. watalii hutua KIA wanapata hotel Kisha ndio wanakwenda Serengeti. Sasa wa Burigi watatua Chato Kisha watelekea sanane na Burigi. Viwanja ndani ya Hifadhi vinaendelea kubaki kusa vya kiwango Cha changarawe.. ni pamoja na kutunza mazingira.

Kumbuka Uwanja wa Chato haujajengwa Burigi ndani ya National Park ..umejengwa Chato Mjini Kama ilivyo kwa KIA na Mwanza airport. Hii dhana huu Uwanja umejengwa Burigi inatoka wapi!?
 

Sawa, Ngoja nikubaliane na wewe. Tunza post yako, Mungu akitujalia uhai, uje na takwimu ni watumiaji wangapi watakuwa wameutumia uwanja huo wa chato toka sasa hadi 2025. Hawatafika hata Milioni moja... mark my word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…