Kizungumkuti hifadhi ya Burigi

Kizungumkuti hifadhi ya Burigi

Duh we jamaa mzushii, umetembelea mbuga kweli wewee?? Mikumi, Tarangire, Selous, Manyara, Gombe??? Zote mapato wanategemea ngorongoro na serengeti???
Unyumbu mbaya jamanii

“Mkulima kubishana na fundi gereji kuhusu magari”
 
Kipi kilianza, uwanja au kupandishwa hadhi kwa pori? Na ifahamike kuwa kuna tofauti kati ya pori na mbuga kwa maana ya uoto wake wa asili. Mbuga huwa na grasses na miti ya umbali kidogo na pori linakuwa limeshona miti na vichaka.
 
KILIMANJARO AIRPORT ilijengwa ili ikidhi mbuga zote za eneo hilo na Mt Kilimajaro

Ila watalii wengi walikuwa wakipumzika Arusha au Moshi kabla ya kwenda kwenye mishe zao

Kwa uwanja wa ndege wa Mwanza kwakweli ulikuwa unatosha kabisa kwani kutoka Mza Geita ni Km 100

Ila hili la kujenga uwanja wa ndege Chato ili Guest House yako ipate wateja wakati shule hazina madawati ni waste of taxpayers money
 
Kwanza jiandae kisaikolojia kusikia mengi siyo tu kwa Lissu bali vyama vyote vya upinzani kwa sababu yale yootee waliozuiwa kuyasema tokea 2016 mpaka sasa watayatapika kwenye hii miezi 2. Hii ni moja ya makosa makubwa ya kuwazuia kwani sasa watayasema sana kipindi hiki cha uchaguzi.

Tukirudi kwenye hii mbuga ya Burigi, tatizo kubwa ni kwa nini wameiharakisha kuipandisha hadhi ilhali haina baadhi ya wanyama muhimu? Tanzania tuna hifadhi za kutosha kabisa na hatuna haja yoyote ya kuongeza hifadhi ambazo zinatulazimu kusafirisha wanyama.

Kumbuka kwamba pamoja na kuwa na hifadhi nyingi hifadhi zinazojiendesha kwa faida na pia kuzalisha ziada ya fedha kuhudumia hifadhi zingine ni kama 2 au 3 (Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Mlima Kilimanjaro).

Sasa unapoongeza mahifadhi mengine meengii ina maana unaongeza running costs unnecessarily na matokeo yake ndiyo yale tuliyoona Ngorongoro inashindwa kukarabati barabara zake kwa ufanisi kwa pamoja na kuingiza mapato mengi yoote yanaishia kuhudumia hifadhi mpya.
 
Tuwekane sawa kidogo kuhusu mambo ya uongo ambayo ameongea ndugu TUNDU LISU mgombea uraisi kwa nafasi kupitia chama Cha demokrasia na maendeleo.

HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI
Mwanzo kabisa hi hifadhi ya taifa ya burigi kabla kupandisha hadhi kuwa hifadhi ya taifa ya wanyama pori, Lili kuwa ni pori moja wapo ya mapori ya hifadhi ya serekali ambalo linapatikana mkoa wa Geita, Hili pori lilianzishwa mwaka 1980 Kama pori la hifadhi la akiba.
Katika ukanda huo kwa maana ya mikoa ya Geita na Kagera yalikuwa yanapatikana mapori Kama vile:

Burigi
Kimisi
Biaramulo
Kibanda na
Rumanyika.

Mwaka 2018-2019 kwenye bunge la bajeti,wizara ya utali walipeleka hoja bungeni ya kuomba kupandishwa hadhi baadhi ya mapori ya akiba na kuwa hifadhi za taifa,mapori hayo ni Burigi,Biaramulo,kibanda na rumanyika.

Haya mapori yote yapo katika ukanda muhimu Sana wa ki ikorojia.

Lengo la wizara ya utali kupeleka hiyo hoja ni kwa sababu ya kupanua utali na kuongeza mapato ya taifa ndani ya miaka Saba ili yafikie bill.16 USD yani maana yake wastani wa watali kufikia mil.8 kwa miaka hiyo Saba.

Wa bunge wote wa bunge la Tanzania walipitisha na wakiwemo na wabunge wa Chadema na yule mtoa vimemo vya uongo kwa mgombea wao bwana Mnyika alikuwepo kwenye kupitisha maamuzi hayo.

Lakini wabunge walikubaliana hayo kwa hoja nyingine ya msingi.

Biharamulo,Burigi na Kimisi haya yote yaliunganishwa na kuwa hifadhi ya taifa kwa jina la BURIGI na mapori haya yote yamezungukwa na kata 18 na vijiji 48.

UWANJA WA NDEGE WA CHATO
Kutokana na kupandishwa hadhi mapori hayo na kuwa hifadhi ya taifa kwa namna moja au nyingine ni lazima kuwepo kwa uwanja wa ndege ili uraisishe utali na kupanua wigo wa utali.

Sasa ndio unaona uongo wa huyu mgombea wa Chadema bwana TUNDU LISU kwamba uwanja wa ndege raisi MAGUFULI kajenga kwa ajiri yake.

RAI YANGU KWA WATANZANIA
Tumpinge vikali Sana huyu muongo wa taifa na mchonganishi wa taifa letu kwa huu upotoshaji anaoufanya kipindi cha kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
Hujajibu hoja za Lissu
Je, Simba walipelekwa au hawajapelekwa ?
 
Ungeweka na idadi ya ndege za kibiashara au za kitalii zinazotua hapo tangu kumalizika kwa uwanja na uwepo wa hiyo hifadhi ya wanyama.

Kama hauna, alichosema TL kitabaki sahihi labda kama kinauma
Huu uwanja kuna mambo hayako wazi lakini yapo yalio obvious.
Yaliyowazi ni kutayarisha miundo mbinu ya usafiri wa anga kwa hao watalii kuja mmoja kwa mmoja tokea makwao.

Pili ni Air base ya mkakati kwa kuwapeleka wanajeshi kwenye sehemu zenye vurugu katika nchi za maziwa makuu.Ujio wa Raisi Museveni na Raisi Kenyatta kutua na ndege za mataifa yao haikuwa kwa bahati mbaya kuna kitu

Sababu ya tatu upanuzi wa safari za anga kwa nchi za jirani na mikoa ya kanda ya ziwa.Hii inatokana na ongezeko la shughuli za binadamu kama uchimbaji wa madini,kilimo,ufugaji,ufuvi,shule na vyuo,ujenzi,bandari n.k
 
Tuwekane sawa kidogo kuhusu mambo ya uongo ambayo ameongea ndugu TUNDU LISU mgombea uraisi kwa nafasi kupitia chama Cha demokrasia na maendeleo.

HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI
Mwanzo kabisa hi hifadhi ya taifa ya burigi kabla kupandisha hadhi kuwa hifadhi ya taifa ya wanyama pori, Lili kuwa ni pori moja wapo ya mapori ya hifadhi ya serekali ambalo linapatikana mkoa wa Geita, Hili pori lilianzishwa mwaka 1980 Kama pori la hifadhi la akiba.
Katika ukanda huo kwa maana ya mikoa ya Geita na Kagera yalikuwa yanapatikana mapori Kama vile:

Burigi
Kimisi
Biaramulo
Kibanda na
Rumanyika.

Mwaka 2018-2019 kwenye bunge la bajeti,wizara ya utali walipeleka hoja bungeni ya kuomba kupandishwa hadhi baadhi ya mapori ya akiba na kuwa hifadhi za taifa,mapori hayo ni Burigi,Biaramulo,kibanda na rumanyika.

Haya mapori yote yapo katika ukanda muhimu Sana wa ki ikorojia.

Lengo la wizara ya utali kupeleka hiyo hoja ni kwa sababu ya kupanua utali na kuongeza mapato ya taifa ndani ya miaka Saba ili yafikie bill.16 USD yani maana yake wastani wa watali kufikia mil.8 kwa miaka hiyo Saba.

Wa bunge wote wa bunge la Tanzania walipitisha na wakiwemo na wabunge wa Chadema na yule mtoa vimemo vya uongo kwa mgombea wao bwana Mnyika alikuwepo kwenye kupitisha maamuzi hayo.

Lakini wabunge walikubaliana hayo kwa hoja nyingine ya msingi.

Biharamulo,Burigi na Kimisi haya yote yaliunganishwa na kuwa hifadhi ya taifa kwa jina la BURIGI na mapori haya yote yamezungukwa na kata 18 na vijiji 48.

UWANJA WA NDEGE WA CHATO
Kutokana na kupandishwa hadhi mapori hayo na kuwa hifadhi ya taifa kwa namna moja au nyingine ni lazima kuwepo kwa uwanja wa ndege ili uraisishe utali na kupanua wigo wa utali.

Sasa ndio unaona uongo wa huyu mgombea wa Chadema bwana TUNDU LISU kwamba uwanja wa ndege raisi MAGUFULI kajenga kwa ajiri yake.

RAI YANGU KWA WATANZANIA
Tumpinge vikali Sana huyu muongo wa taifa na mchonganishi wa taifa letu kwa huu upotoshaji anaoufanya kipindi cha kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
Kwa nini kipindi hiki na si kabla? Bado watanzania wenye akili wapo,watahoji na kukosoa. Miradi mingi ya hovyo na hasara imepelekwa chato.Jengo la CRDB,PCCB na Taa za barabarani kweny kimji kidogo ni ushahidi tosha kuwa kuna mkono wa "chuma" nyuma yake. Danganya wasiojielewa!
 
Tuwekane sawa kidogo kuhusu mambo ya uongo ambayo ameongea ndugu TUNDU LISU mgombea uraisi kwa nafasi kupitia chama Cha demokrasia na maendeleo.

HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI
Mwanzo kabisa hi hifadhi ya taifa ya burigi kabla kupandisha hadhi kuwa hifadhi ya taifa ya wanyama pori, Lili kuwa ni pori moja wapo ya mapori ya hifadhi ya serekali ambalo linapatikana mkoa wa Geita, Hili pori lilianzishwa mwaka 1980 Kama pori la hifadhi la akiba.
Katika ukanda huo kwa maana ya mikoa ya Geita na Kagera yalikuwa yanapatikana mapori Kama vile:

Burigi
Kimisi
Biaramulo
Kibanda na
Rumanyika.

Mwaka 2018-2019 kwenye bunge la bajeti,wizara ya utali walipeleka hoja bungeni ya kuomba kupandishwa hadhi baadhi ya mapori ya akiba na kuwa hifadhi za taifa,mapori hayo ni Burigi,Biaramulo,kibanda na rumanyika.

Haya mapori yote yapo katika ukanda muhimu Sana wa ki ikorojia.

Lengo la wizara ya utali kupeleka hiyo hoja ni kwa sababu ya kupanua utali na kuongeza mapato ya taifa ndani ya miaka Saba ili yafikie bill.16 USD yani maana yake wastani wa watali kufikia mil.8 kwa miaka hiyo Saba.

Wa bunge wote wa bunge la Tanzania walipitisha na wakiwemo na wabunge wa Chadema na yule mtoa vimemo vya uongo kwa mgombea wao bwana Mnyika alikuwepo kwenye kupitisha maamuzi hayo.

Lakini wabunge walikubaliana hayo kwa hoja nyingine ya msingi.

Biharamulo,Burigi na Kimisi haya yote yaliunganishwa na kuwa hifadhi ya taifa kwa jina la BURIGI na mapori haya yote yamezungukwa na kata 18 na vijiji 48.

UWANJA WA NDEGE WA CHATO
Kutokana na kupandishwa hadhi mapori hayo na kuwa hifadhi ya taifa kwa namna moja au nyingine ni lazima kuwepo kwa uwanja wa ndege ili uraisishe utali na kupanua wigo wa utali.

Sasa ndio unaona uongo wa huyu mgombea wa Chadema bwana TUNDU LISU kwamba uwanja wa ndege raisi MAGUFULI kajenga kwa ajiri yake.

RAI YANGU KWA WATANZANIA
Tumpinge vikali Sana huyu muongo wa taifa na mchonganishi wa taifa letu kwa huu upotoshaji anaoufanya kipindi cha kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
Nadhani ulichofanya ni kuzidi kufafanua mbinu zilizotumika katika kukamilisha upendeleo kwa Chato.

Mapori yapo mengi, kwa nini hilo tu ndiyo lipandishwe kuwa hifadhi ya Taifa?

Baada ya kupandisha na kuwa hifadhi ya Taifa, nini cha pekee kwa hiyo mbuga mpya mpaka kujenga uwanja mkubwa wa ndege? Mbuga ni mpya, haina wanyama, halafu uwanja wa ndege mkubwa wa ndege!!

Kama kigezo ni uwepo wa mbuga ya wabyama, kwa nini huo uwanja haukujengwa Iringa ambako kuna mbuga ya wanyama ya Ruaha yenye the highest animal population katika Tanzania? Kwa nini huo uwanja haukujengwa Katavi ambayo ni kati ya mbuga zenye wanyama wengi na eneo kubwa la nchi kavu na ndani ya ziwa Rukwa?

Tusitetee mambo yanayovuruga umoja wetu. Kama tuna uzalendo kwa Taifa letu, lazima tutamke kwa kauli na vitendo - UPENDELEO HAPANA, UBAGUZI HAPANA, UONEVU HAPANA, DHULUMA HAPANA.

Haya tuyaseme, na yeye asikie, ajue kuwa hatuyataki. Waliotangulia hawakufanya hivyo. Siyo kwamba wasingeweza bali walizingatia umoja wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi kilianza, uwanja au kupandishwa hadhi kwa pori? Na ifahamike kuwa kuna tofauti kati ya pori na mbuga kwa maana ya uoto wake wa asili. Mbuga huwa na grasses na miti ya umbali kidogo na pori linakuwa limeshona miti na vichaka.
Ulianza uwanja
 
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kuweka Lami hapo Chato ilihali Serengeti baba lao hana lami wala Musoma airport lami hakuna mpaka leo... unajibuje hapo?
Baba yako alijenga nyumba huko nyuma kwa tofari mbichi ambayo leo unaona inahitajika kubomolewa ijengwe ya tofari za block, sasa wewe nae unataka kujenga nyumba unatumia tofari mbichi kwa kuwa baba yako alizitumia au unatumia za block kwa kuwa ndio hitaji la sasa?
Tumieni akiri kabla ya kuuliza vimaswali vya urofa.
 
Muongozo kidogo.
Musoma Airport lami ipo, sahihisha sentensi yako

Ndugu hebu tuwekee picha za leo basi.. maana zilizopo na zinazopatika na kuoneshwa ulimwenguni kote, Musoma airport bado haina Lami...
 
Attachments

  • Musoma airport.JPG
    Musoma airport.JPG
    22.6 KB · Views: 2
  • Musoma airport 1.JPG
    Musoma airport 1.JPG
    19.7 KB · Views: 2
Ulianza uwanja
Then yawezekana tunabadili pori kuwa mbuga ili kujustify uwepo wa uwanja kuwa utasaidia watalii kufika mbugani while may be motive ilikuwa siyo hiyo. But still tumekuwa na mbuga kubwa ya Serengeti karibu na huko ambayo nafikiri ina uwanja wa ndege ndogo zinazotua na kupeleka watalii. Again Mwanza ina uwanja mkubwa wa kutua ndege kubwa. Economically tuna scarce resources ambazo tunatakiwa kuzitumia wisely kwa kuwa na scale of preferences na priorities ili kupunguza shida zetu hasa za kijamii kama huduma za afya, maji safi, elimu bora nk.
 
Unatumia akiri gani dogo kufikili?
Baba yako alijenga nyumba huko nyuma kwa tofari mbichi ambayo leo unaona inahitajika kubomolewa ijengwe ya tofari za block,
sasa wewe nae unataka kujenga nyumba unatumia tofari mbichi kwa kuwa baba yako alizitumia au unatumia za block kwa kuwa ndio hitaji la sasa?
Tumieni akiri kabla yankuuliza vimaswali vya urofa.
Tuwekee business case inayo- justify kujengwa kwa Chato international airport kwa sasa... vinginevyo ndio maana mnaambiwa ni ya yale yale ya Mobutu kuku banga wa Ze banga... weka business case tafadhari... facts, figures, revenues etc...
 
Sawa, Ngoja nikubaliane na wewe. Tunza post yako, Mungu akitujalia uhai, uje na takwimu ni watumiaji wangapi watakuwa wameutumia uwanja huo wa chato toka sasa hadi 2025. Hawatafika hata Milioni moja... mark my word.
Unaongelea milioni 1! Nakwambia Magufuli akitoka madarakani, itakuwa bahati sana kupata watalii hata 100 kwa mwaka wa kutembelea Burigi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia akiri gani dogo kufikili?
Baba yako alijenga nyumba huko nyuma kwa tofari mbichi ambayo leo unaona inahitajika kubomolewa ijengwe ya tofari za block,
sasa wewe nae unataka kujenga nyumba unatumia tofari mbichi kwa kuwa baba yako alizitumia au unatumia za block kwa kuwa ndio hitaji la sasa?
Tumieni akiri kabla yankuuliza vimaswali vya urofa.
Mwinmgine alisema, “Ndani ya Hifadhi tunazo runway za kiwango Cha changarawe kwa ajili ndege ndogo”... ingependeza zaidi kuona hiyo chato kama vilivyo viwanja vingine...passenger numbers ya shinyanga airport ( kusiko kuwa na lami) ni nyingi zaidi kuliko chato...malumbano mengine hayakuhitajika kama lami ilikuwa ni business case...
weka business case tafadhari, sio kujenga uyoga wa Airport kila sehemu bila kuwa na business case, ni hasara kwa taxi payer bila mpango...
 
Unaongelea milioni 1! Nakwambia Magufuli akitoka madarakani, itakuwa bahati sana kupata watalii hata 100 kwa mwaka wa kutembelea Burigi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana nimewaambia na kuwauliza watetezi wa chato airport watukee business case inayo- justify ujenzi wa chato airport- vinginevyo ni yale yale ya Mobute KUKU banga wa Zabanga... Chato airport ni white elephant project inayomuongezea mlipa kodi mzigo wa operational costs usio wa maana... sijui nako huko wameweka 24/7 immigration officers, air traffic controllers , airport handling etc.. ni mambo mengi sana yanahitajika kuwa na international airport na mzigo huu sijui anaubeba nani kwa hawa watalii wasio zidi 100 kwa wiki ...
 
Then yawezekana tunabadili pori kuwa mbuga ili kujustify uwepo wa uwanja kuwa utasaidia watalii kufika mbugani while may be motive ilikuwa siyo hiyo. But still tumekuwa na mbuga kubwa ya Serengeti karibu na huko ambayo nafikiri ina uwanja wa ndege ndogo zinazotua na kupeleka watalii. Again Mwanza ina uwanja mkubwa wa kutua ndege kubwa. Economically tuna scarce resources ambazo tunatakiwa kuzitumia wisely kwa kuwa na scale of preferences na priorities ili kupunguza shida zetu hasa za kijamii kama huduma za afya, maji safi, elimu bora nk.
Mkuu tatizo letu ni kuwa hatupendi kukosolewa, ukifanya unaambiwa wewe umetumwa na beberu
 
Back
Top Bottom