polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,158
- 7,667
Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?