Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ushaidi mama yako mzazi kaliwaWeka ushahidi wa huu upupu wako
Ushaidi mama yako mzazi kaliwaWeka ushahidi wa huu upupu wako
Mwanaccm anaitetea eisitiiWeka ushahidi kama huu wa wachungaji wa kikatoliki waliokula rushwa, sio picha
KKKT waliwashikia bango ndio mnajifanya kutengeneza uongo na kashfa dhidi yao
View attachment 3619271
Kanisa la KKKT kwa sasa wanaabudu sanamuKwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Kwa Askofu Mwamakula,ndiyo sehemu sahihiUnaenda wapi saahz mkuu
Ni kweli, 100% correctKwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Ndo maana lilisambaratika juzi kati likazaliwa kanisa lingine yaani huyu malasusa ndo kibaraka namba mojaKwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Wewe ni mshenziWewe kweli hamnazo. Nani anashambulia makanisa?
Ulivyokosa akili, huelewi hata kinachojadiliwa! Aheri ungekaa kimya ili uufiche ulemavu wa akili yako.
Kinachojadiliwa ni jinsi muabudu sanamu ya pesa alivyoamua kushikamana na wauaji, maadui wa Kristo, na jivyo kuligeuza kanisa kuwa lango la kuwapeleka waumini kwenye ufalme wa shetani.
Kwa nguvu ya Bwana, kupitia maombi ya wenye haki, siku zaja ambapo huyo aliyeamua kulitmia kanisa kama sehemu ya kuwabariki mawakala wa shetani, ataondoshwa.
Mungu wetu ni Mungu wake, na kila aliye mtumishi wake, lazima asimame katika haki, hata kama atapitia magumu ya kiwango gani.
Wauaji, watekaji na wadhulumu haki wote, ni shetani katika maumbile ya wanadamu, kuwapa nafasi ndani y nyumba ya Mungu, ni kumkejeli na kumdharau Mungu wa haki!