KKKT imekuwa lango wa Serikali kujisafisha, kanisa limepoteza mwelekeo wake wa kiimani

KKKT imekuwa lango wa Serikali kujisafisha, kanisa limepoteza mwelekeo wake wa kiimani

Nikienda kanisani kusali mbona simuoni huyo shetani.
 
KKKT ni wanafiki na matapeli walivyokuwa wakimpinga Magufuli aisee! na kwa jinsi wanavyokula sinia moja na Samia utang'amua kuna sehemu . Ipo shida ipo KKKT ni wachumia tumbo, wanafiki na matapeli
 
Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,

Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Laana itokanayo na kuwalaani watumishi wa Mungu waliobarikiwa.
Kubali ukatae, mtu yoyote au kitu chochote Mungu alichokibariki mwanadamu hawezi kukilaani. Na ikiwa umemlaani au kutamka maneno mabaya juu ya mbarikiwa yoyote wa Mungu, laana hiyo inafanyika kuwa baraka kwa uliyemtamkia lakini inakurudia wewe kama laana (Hesabu 23:11 na Hesabu 24:10).
 
Weka ushahidi kama huu wa wachungaji wa kikatoliki waliokula rushwa, sio picha
KKKT waliwashikia bango ndio mnajifanya kutengeneza uongo na kashfa dhidi yao

View attachment 3619271
Hata katika hili; ungekuwa ni binaadam mwenye akili timamu usingekosa kuona tofauti ya hao maaskofu waliogawiwa na hili la Samia kununua kanisa zima kupitia kwa viongozi wa dini ili kuhalalisha uovu wanaofanyiwa waTanzania.

Najuwa huna akili timamu; kwa hiyo usihangaike kujibu chochote hapa kwa vile huwezi kuelewa kilichoandikwa..
 
Laana itokanayo na kuwalaani watumishi wa Mungu waliobarikiwa.
Kubali ukatae, mtu yoyote au kitu chochote Mungu alichokibariki mwanadamu hawezi kukilaani. Na ikiwa umemlaani au kutamka maneno mabaya juu ya mbarikiwa yoyote wa Mungu, laana hiyo inafanyika kuwa baraka kwa uliyemtamkia lakini inakurudia wewe kama laana (Hesabu 23:11 na Hesabu 24:10).
Aliye pitishwa na mungu ni nani? Huyo malasusa aliye pitishwa kwa rushwa kwa mgongo wa serikali uchaguzi mbona naujia vizuri kabisa na namna alivyo pita pita , naendelea kusema kwa msisitizo kabisa Malasusa na genge lake wote ni ******* na WASHENZI , hakuna chaguo la mungu kwa wanafiki na waongo, wapenda fedha , labda kama huyo mungu ni wakuchonga kwa mbao, lakini si mungu huyu ninaye muamini mimi, Mungu wa haki na kweli, malasusa amehasi na kulinajisi kanisa katika imani, kaliuza kanisa katika katika dhambi ya uongo na unafiki ni MSHENZI KABISA na mungu hakai kwa washenzi na wanafiki
 
Laana itokanayo na kuwalaani watumishi wa Mungu waliobarikiwa.
Kubali ukatae, mtu yoyote au kitu chochote Mungu alichokibariki mwanadamu hawezi kukilaani. Na ikiwa umemlaani au kutamka maneno mabaya juu ya mbarikiwa yoyote wa Mungu, laana hiyo inafanyika kuwa baraka kwa uliyemtamkia lakini inakurudia wewe kama laana (Hesabu 23:11 na Hesabu 24:10).
Acha kutumia maandiko vibaya!.
Unaelewa maana ya Mungu kukataza jina lake lisitajwe bure?

Kutoka 20
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
 
Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,

Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Sawa, we hamia TEC ya Padri Kitima
 
Ukimuweka mtu anaitwa Malasusa miongoni mwa wazee wenye hekima umewaharibia sifa zao zote hao wazee.
 
Je Askofu Alex Gehaz Malasusa anazo sifa hizi?

1 Timotheo 3:1-7
[1]Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu,
atamani kazi njema.
This is a true saying, If a man desire the office of a bishop, he desireth a good work.
[2]Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach;
[3]si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
Not given to wine, no striker, not greedy of filthy lucre; but patient, not a brawler, not covetous;
[4]mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
One that ruleth well his own house, having his children in subjection with all gravity;
[5](yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
(For if a man know not how to rule his own house, how shall he take care of the church of God?)
[6]Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
Not a novice, lest being lifted up with pride he fall into the condemnation of the devil.
[7]Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi.
Moreover he must have a good report of them which are without; lest he fall into reproach and the snare of the devil.
Well explained mkongwe 🫡.
Tukiacha mada mezani huyu askofu nakumbuka alivyorudi awamu (ni kama Dr Shoo alionekana haingiliki)hii ilileta kelele kuwa ana mipango yake nje ya kazi za kanisa now naelewa.
 
Tatizo CHADEMA mlijiaminisha KKKT ni sehemu ya chama cheni enzi za Dr Shoo hadi mkamnunulia VXR la kifahari. Nabii wenu feki Lema kila mara humshambulia Malasusa bila sababu za msingi kwa sababu Malasusa kakataa kanisa kutumika kama idara ya CHADEMA. Ninampongeza Askofu Malasusa kukataa upuuzi. Hata Dr Shoo naye kwa sasa kakataa kutumika na wahuni wa CHADEMA

Unabii wa Mama Bikira Maria wa Fatima, umeanza kutimia:

"Siku zile, shetani atafanya kazi zaidi kupitia wanaojiita viongozi wa dini kuliko waumini wa kawaida, na watu wengi watapotea kupitia viongozi hao. Wanadamu wataamini wanamtumikia Baba wa mbinguni, kumbe wanamtumikia shetani"

Malasusa amejiweka wazi sana kuwa ni wakala wa shetani, na kupitia yeye, wengi watapotea.

Mungu wetu, ni Mungu wa haki, ndiyo maana siku zote, tangu enzi, manabii walisimama na wanaoonewa, na siyo na wanaonea. Malasusa ameamua kusimama na wanaowaua watanganyika, Malasusa ameamua kusimama na wanaowateka na kuwapoteza Watanganyika. Malasusa ameamua kulitumia jina la Mungu kufanikisha malengo ya shetani. Lakini, kama ndani ya KKKT, kuna wanaoomba kwa imani, kwa Mungu wa kweli, kwa kuwa Mungu wetu huwasikiliza waombao, kuna wakati utakuja, Malasusa atawekwa pembeni ili asizidi kuwa lango la waumini wa KKKT kumwelekea shetani, na hayo yatatokea wakati ule ambao kila mmoja mwenye macho na masikio atakuwa amefahamu pasipo shaka, kuwa kumbe Malasusa alikuwa ni wakala wa shetani aliyeamua kutumia jina la Mungu wa kweli, kuwapeleka wengi kwenye ufalme wa shetani.
 
Kwenye kweli na haki kwakweli wakatoliki wameonesha kwa vitendo nimewapenda , kanisa la kweli halifungamani na unafiki na uongo, ingawa kwenye kuabudu sanamu la yesu na maria ru hapo ndio pana shida kwa upande waonl, lakini kwenye kusimamia haki na kweli ya mungu na kukataa kufungamana na serikali uaji nawapa 100%
Halafu unafikiri hayo masanamu tunayaabudu basi,ni vile waja wanavyotafsiri tu,sisi tunamwabudu Mungu tu na ndio maana hata wakisema vipi hatuwajibu tunaelewa tunachokifanya katika imani yetu
 
Halafu unafikiri hayo masanamu tunayaabudu basi,ni vile waja wanavyotafsiri tu,sisi tunamwabudu Mungu tu na ndio maana hata wakisema vipi hatuwajibu tunaelewa tunachokifanya katika imani yetu

Anayeabudiwa ni yeye aliye halisia, ambaye picha yake na mwonekano wake ni wa hiyo picha au sanamu.

Hata ikitokea binadamu amekufa, katika mazingira ambayo hakuna uwezekano wa kuufikia mwili wake, watu huweka picha ya marehemu, na hutoa heshima za mwisho. Hawatoi heshima kwa ile picha, bali yeye anayewakilishwa na hiyo picha. Picha huwekwa ili kutengeneza hisia.
Mitume wa Yesu walifafanua vizuri sana maana halisi ya sanamu na ibada ya sanamu. Walisema wazi kuwa sanamu ni chochote unachokitukuza zaidi ya Mungu. Tanzania tunawaabudu sanamu wengi sana. Kuna watu wanaabudu sanamu ya madaraka, wapo tayari hata kuua, kinyume cha amri ya Mungu. Hawa sanamu yao ni madaraka. Wapo watu wapo tayari kudhulumu na hata kuua ili wapate utajiri, hawa sanamu yao ni utajiri.
Anayeweka picha yoyote ili kujenga hisia zinazomfanya amkaribie Mungu, kamwe si mwabudu sanamu. Ndiyo maana Waisrael walitengeneza sanduku, wakaweka mbao 2 za amri 10 za Mungu, wakalisujudia, wakalijengea nyumba, na Mungu aliyasikikiza maombi yao kupitoa hilo sanduku la Agano, si kwa sababu walikuawa wanaabudu sanduku sanamu bali walikuwa wanamtukuza yeye aliyewapa hizo amri na kutengeneza agano nao.
 
Back
Top Bottom