Je Askofu Alex Gehaz Malasusa anazo sifa hizi?
1 Timotheo 3:1-7
[1]Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu,
atamani kazi njema.
This is a true saying, If a man desire the office of a bishop, he desireth a good work.
[2]Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach;
[3]si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
Not given to wine, no striker, not greedy of filthy lucre; but patient, not a brawler, not covetous;
[4]mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
One that ruleth well his own house, having his children in subjection with all gravity;
[5](yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
(For if a man know not how to rule his own house, how shall he take care of the church of God?)
[6]Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
Not a novice, lest being lifted up with pride he fall into the condemnation of the devil.
[7]Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi.
Moreover he must have a good report of them which are without; lest he fall into reproach and the snare of the devil.