Kkkt ni Mwalutheri na Mwalutheri ni KKKT na akitoka Mwalutheri anarudi MwashooKwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Malasusa ni CCMKwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Angekisapoti CHADEMA angekuwa wakala wa Mungu? Malasusa kaamua kukataa kulitumia kanisa kisiasa ndo maana CHADEMA mnaweweseka.Unabii wa Mama Bikira Maria wa Fatima, umeanza kutimia:
"Siku zile, shetani atafanya kazi zaidi kupitia wanaojiita viongozi wa dini kuliko waumini wa kawaida, na watu wengi watapotea kupitia viongozi hao. Wanadamu wataamini wanamtumikia Baba wa mbinguni, kumbe wanamtumikia shetani"
Malasusa amejiweka wazi sana kuwa ni wakala wa shetani, na kupitia yeye, wengi watapotea.
Mungu wetu, ni Mungu wa haki, ndiyo maana siku zote, tangu enzi, manabii walisimama na wanaoonewa, na siyo na wanaonea. Malasusa ameamua kusimama na wanaowaua watanganyika, Malasusa ameamua kusimama na wanaowateka na kuwapoteza Watanganyika. Malasusa ameamua kulitumia jina la Mungu kufanikisha malengo ya shetani. Lakini, kama ndani ya KKKT, kuna wanaoomba kwa imani, kwa Mungu wa kweli, kwa kuwa Mungu wetu huwasikiliza waombao, kuna wakati utakuja, Malasusa atawekwa pembeni ili asizidi kuwa lango la waumini wa KKKT kumwelekea shetani, na hayo yatatokea wakati ule ambao kila mmoja mwenye macho na masikio atakuwa amefahamu pasipo shaka, kuwa kumbe Malasusa alikuwa ni wakala wa shetani aliyeamua kutumia jina la Mungu wa kweli, kuwapeleka wengi kwenye ufalme wa shetani.
Kumbe ukiachana na siasa unakuwa na kabusara.ni vizuri kumuamini Mungu pekee gentleman, na si vinginevyo 🐒
gentleman,Kumbe ukiachana na siasa unakuwa na kabusara.
Ni lijipepo lichafu limekaa mahali patakatifu.Well explained mkongwe 🫡.
Tukiacha mada mezani huyu askofu nakumbuka alivyorudi awamu (ni kama Dr Shoo alionekana haingiliki)hii ilileta kelele kuwa ana mipango yake nje ya kazi za kanisa now naelewa.
Angekisapoti CHADEMA angekuwa wakala wa Mungu? Malasusa kaamua kukataa kulitumia kanisa kisiasa ndo maana CHADEMA mnaweweseka.
Kuanzia askofu mkuu wote macho serikalini zawadi za reja reja zinatoka tu, mamilioni ya pesa wanapokea tu kwa kigezo cha harambee, wamesashau mauaji yaliotokea ila kukemea serikali wameshindwa. ili waonekane wanakaa karibu na jamii ila wanajisafisha, KKKT imeamua kufungia macho hili. Tunawaangalia tu tutakuja kuwakataa peupeKwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
Ukisikia kuabudu fedha(sanamu) basi ni kanisa la KKKT.Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi kukemea mauaji ya raia hata mara moja bali limeamua kushirikiana na wauwaji , KKKT kwa sasa si kanisa la kiimani tena , kanisa limejifunga kwenye unafiki na uongo hapa hakuna mungu wa kweli ndani yao, maaskofu KKKT wamejaa tamaa ya fedha kuliko kweli na haki mbele za mungu.ibilisi gani kaliingia hili kanisa!?
KKKT sio chama cha siasa kwahiyo nyie CHADEMA acheni upumbavu wa kushambulia kanisa ili kulinda maslahi yenu ya kihuni. Kwanini hamuwashambulii SDA, Anglican, AIC?Hatakiwi kuisapoti CHADEMA, CCM, au chama au mtu yeyote yule, bali wanatakiwa kusiamama katika haki na kweli wakati wote. . Mungu wetu ni Mungu wa haki, nao waliojitoa kumtumikia, ni lazima wasimame katika haki kwa gharama yoyote ile. Na palipo na uonevu, ni lazima wakemee, waonye hata kwa ukali.
Wapentecoste ni vidhehebu vidogo hivyo havina impact, kwanza vyenyewe tu vimetawanyikaHawa wanasiasa huwa hawakimbilii sana makanisa ya Kipentekoste, wapentekoste na siasa wanaona ni ukahaba, Babeli mkuu, mama wa makahaba. Kule wanasiasa hawatii timu wataonekana ni shetani, Hawa mitume na manabii uchwara ndio wanawakubali wanasiasa na kuwapa large coverage kwenye masinagogi yao
Wewe kweli hamnazo. Nani anashambulia makanisa?KKKT sio chama cha siasa kwahiyo nyie CHADEMA acheni upumbavu wa kushambulia kanisa ili kulinda maslahi yenu ya kihuni. Kwanini hamuwashambulii SDA, Anglican, AIC?
Sanamu siyo picha, bali chochote unachokipa umuhimi kuliko Mungu. Kama unakubali pesa ikupotoshe, ikuondoe kwenye maelekezo ya Kristo, basi wewe ni muabudu sanamu ya pesa.KKKT hawana masanamu ila wanasujudu pesa vibaya sana, ndio maana wanahongeka kirahisi sana nanserikali yenye damu za watu
Kivipi wanaabudu sanamu?Kwenye kweli na haki kwakweli wakatoliki wameonesha kwa vitendo nimewapenda , kanisa la kweli halifungamani na unafiki na uongo, ingawa kwenye kuabudu sanamu la yesu na maria ru hapo ndio pana shida kwa upande waonl, lakini kwenye kusimamia haki na kweli ya mungu na kukataa kufungamana na serikali uaji nawapa 100%