KKKT imekuwa lango wa Serikali kujisafisha, kanisa limepoteza mwelekeo wake wa kiimani

Mbaya zaidi askofu mkuu alishawahi kusema kama hauoni maendeleo kamuulize mamako dahhhhii sio sawa.
 
Kanisa la KKKT kwa sasa wanaabudu sanamu
 
Ni kweli, 100% correct
 
Nitaongea na viongozi wangu wa Dini wasijaribu kuwaalika viongozi wa KKKT katika shughuli mbalimbali za Kidini. KKKT wameamua kuwa PANGO LA WALANGUZI, WALARUSHWA, WATAKATISHAJI FEDHA, MAFISADI na UCHAFU WOTE UNAOFANANA NA HUO.

Iwe ni marufuku kabisa kuwakaribisha pia iwe marufuku viongozi wangu wa Dini na waumini wengine kushiriki shughuli za KKKT.
 
Ndo maana lilisambaratika juzi kati likazaliwa kanisa lingine yaani huyu malasusa ndo kibaraka namba moja
 
Wewe ni mshenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…