Wapendwa sana wana KKKT Dayosisi ya Konde, poleni na mgogoro wa kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya Mjini.
Askofu mwaikali katika ngazi za juu amekuwa msaliti tangu akiwa msaidizi wa askofu hadi akahamia iringa hadi mlipomfuata akawe askofu wa Konde.
Nina maswali ambayo mnatakiwa mjihoji.
Kwanini akiwa msaidizi alimsaliti Ask Mwakyolile?
Kwanini hakupangwa kwenye huduma ndani ya dayosisi baada yakuondoka usaidizi?
Alikokuwa huko iringa alipata baraka za dayosisi ya konde kwenda kutumika nje ya dayosisi?
Mlijua maisha ya huko alikokuwa nje ya dayosisi na mlijidhirisha hadi mkatuma wajumbe wa kumuomba arudi?
Tunajua jiografia ya makao makuu ya Dayosisi ya Konde ipo nje kidogo na ngumu.
Njia aliyoitumia Ask Mwakagali ni uasi wa hali ya juu.
Ameligawa kanisa na kuvunja katiba ya dayosisi.
Kuepusha kukua kwa mgogoro.
1. Halmashauri kuu ya dayosisi ipige kura yakutokuwa na imani.
2. Waamini mtafute mwanasheria afunguliwe mashitaka kwa kuvunja katiba.
Ikiwa mnataka kuhamisha makao makuu muanze kwa kuzingatia jiografia na umuhimu wake bila kuathili kanisa.
Ask Mwakagali amefanya uhuni na uhaini. Hafai kuendelea kukalia kiti.