KKKT Konde mlikosea tangu mlipomfuata Askofu Mwaikali akawe Askofu wa Konde

KKKT Konde mlikosea tangu mlipomfuata Askofu Mwaikali akawe Askofu wa Konde

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Wapendwa sana wana KKKT Dayosisi ya Konde, poleni na mgogoro wa kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya Mjini.

Askofu mwaikali katika ngazi za juu amekuwa msaliti tangu akiwa msaidizi wa askofu hadi akahamia iringa hadi mlipomfuata akawe askofu wa Konde.

Nina maswali ambayo mnatakiwa mjihoji.

Kwanini akiwa msaidizi alimsaliti Ask Mwakyolile?

Kwanini hakupangwa kwenye huduma ndani ya dayosisi baada yakuondoka usaidizi?

Alikokuwa huko iringa alipata baraka za dayosisi ya konde kwenda kutumika nje ya dayosisi?

Mlijua maisha ya huko alikokuwa nje ya dayosisi na mlijidhirisha hadi mkatuma wajumbe wa kumuomba arudi?

Tunajua jiografia ya makao makuu ya Dayosisi ya Konde ipo nje kidogo na ngumu.

Njia aliyoitumia Ask Mwakagali ni uasi wa hali ya juu.

Ameligawa kanisa na kuvunja katiba ya dayosisi.

Kuepusha kukua kwa mgogoro.

1. Halmashauri kuu ya dayosisi ipige kura yakutokuwa na imani.

2. Waamini mtafute mwanasheria afunguliwe mashitaka kwa kuvunja katiba.

Ikiwa mnataka kuhamisha makao makuu muanze kwa kuzingatia jiografia na umuhimu wake bila kuathili kanisa.

Ask Mwakagali amefanya uhuni na uhaini. Hafai kuendelea kukalia kiti.
 
Wapendwa sana wana KKKT DAYOSISI YA KONDE, Poleni na mgogoro wa kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya mjini.

Askofu Mwaikali katika ngazi za juu amekuwa msaliti tangu akiwa msaidizi wa askofu hadi akahamia Iringa hadi mlipomfuata akawe Askofu wa KONDE.

Nina maswali ambayo mnatakiwa mjihoji.

Kwanini akiwa msaidizi alimsaliti Ask Mwakyolile.?

Kwanini hakupangwa kwenye huduma ndani ya Dayosisi baada yakuondoka usaidizi?

Alikokuwa huko Iringa alipata baraka za Dayosisi ya KONDE kwenda kutumika nje ya Dayosisi?

Mlijua maisha ya huko alikokuwa nje ya Dayosisi na mlijidhirisha hadi mkatuma wajumbe wakumuomba arudi?

Tunajua jiografia ya makao makuu ya Dayosisi ya KONDE ipo nje kidogo na ngumu.

Njia aliyoitumia Ask Mwakagali ni UASI wa hali ya juu.
Ameligawa kanisa na kuvunja katiba ya Dayosisi.

Kuepusha kukua kwa mgogolo.
1.Halmashauri kuu ya Dayosisi ipige kura yakutokuwa na Imani.
2.Waamini mtafute mwanasheria afunguliwe mashitaka kwa kuvunja katiba.

Ikiwa mnataka kuhamisha makao makuu muanze kwa kuzingatia jiografia na umuhimu wake bila kuathili kanisa.

Ask Mwakagali amefanya uhuni na uhaini.HAFAI KUENDELEA KUKALIA KITI.
Umekosea ,askofu Mwakagali alishafariki!
 
Askofu wa sasa anaitwa Mwaikali,Mwakagali alifaliki siku nyingi!
Kichwa cha somo hakijataja Ask marehemu Mwakagali aliyetunza kanisa bila kuvunja katiba.
Tunamsema Mwaikali mwenye mke aliyemfanyia mkurugenzi wake unyama.
 
Nilishangaa Mwaikali kua askofu maana alikua anafundisha chuo cha kikatoliki cha Ruaha (RUCO) ghafla kawa askofu. Nadhani utaratibu wenu wa kupiga kura ni rahisi sana kuwa bribe wapiga kura wakakuchagua
 
Kichwa cha somo hakijataja Ask marehemu Mwakagali aliyetunza kanisa bila kuvunja katiba.
Tunamsema Mwaikali mwenye mke aliyemfanyia mkurugenzi wake unyama.
Mimi sijazungumzia mgogoro,umetaja Mwakagali!Ndo nimekujibu.hebu soma vizuri ulivyoandika mkuu!
 
Huu mgogoro ni moto,maana walihamisha makao kutoka Manow kwenda Tukuyu,wakaona haitoshi wamehamishia Mbeya!
Kumbe wote vigeugeu,mnaishi kama Masai wakitafuta malisho.
Mmuombe Mdegella au Munga aje akaimu Dayosisi.
Chuo kiliwashinda kusimamia tens Dayosisi
 
Kumbe wote vigeugeu,mnaishi kama Masai wakitafuta malisho.
Mmuombe Mdegella au Munga aje akaimu Dayosisi.
Chuo kiliwashinda kusimamia tens Dayosisi
Yataisha tuu mkuu,hakuna jambo lisilokosa mwisho.
 
Yataisha tuu mkuu,hakuna jambo lisilokosa mwisho.
Asante kwa hekima.Muonyeni Mwaikali aache uhuni huo tena aomba msamaha.
Kisha apate sabatiko
Akiendelea tutamuanika.
Tunawapenda!!Mhuni hatumpendi
Say hi to Dean
Say hi to GS
Hawa wote ni maaskofu tuliowabariki mioyoni
 
Askofu Mwaikali
Kwa heshima yako,nakushauri uitishe vikao vya utendaji na ujumbe mbeya mjini uwe na Ofisi ndogo kwa mda.
Batilisha uamuzi ulioamini unajenga Dayosisi.
 
Migogoro ipo kila dini,ila njia zakutatua na uwazi tunazidiana.
Usiri wakutatua RC wanaongoza.
Uvujaji wa Mali RC wanaongoza ila hutasikia kama wengine
 
Back
Top Bottom