sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huo mzunguko unaathiri vipi hali ya kiroho ya waumini(wasikilizaji)?Na hapo zamani kkkt hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa walokole.
Je kwa mwanamke alie kwenye mzunguko , ni sawa kuendesha ibada takatifu ?
Umejibu kwa hisia zako, biblia inakataza wanawake kuendesha ibada,Zaman hakukuwa n Pampas ndio maana hedhi ilionekana ni uchafu saana. Siku hzi hedhi na Ile Hali sio uchafu Kwa sabAbu kuna njia za kujisitiri. So waache waongoze ibada.hamna shida.
Shida IPO kwenu wanamapokeo....
Pampas ni za watoto wachanga.Zaman hakukuwa n Pampas ndio maana hedhi ilionekana ni uchafu saana. Siku hzi hedhi na Ile Hali sio uchafu Kwa sabAbu kuna njia za kujisitiri. So waache waongoze ibada.hamna shida.
Shida IPO kwenu wanamapokeo....
Mgonjwa anaruhusiwa kuendesha ibada iwe ya kiislamu au Kikiristo?Mleta uzi apatiwe majibu bila kukunja sura.
Kufundisha Nini?1timotheo 2:12 neno linasema simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume,
Ninyi mnataka,siyo Neno linataka, pole.Hayo ni mambo ya mwilini ya torati. Agano jipya linaangazia zaidi mambo ya rohoni. Kwanza hatuna utambuzi ni mwanamke yupi yupo hedhini, hayo ni mambo ya faragha yake anayajua mwenyewe. Sisi tunataka atuhubirie injili atimize wajibu wake
Neno mbele ya wanaume,Kufundisha Nini?
Hedhi siyo ugonjwa. Kitaalam tunasema ni physiological changes na siyo pathologicalMgonjwa anaruhusiwa kuendesha ibada iwe ya kiislamu au Kikiristo?
Mambo mengine ni faragha siyo kuleta humu kujadili kwa watu kama sisi wenye hela nyingi, elimu kubwa na exposure.Na hapo zamani kkkt hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa walokole.
Je kwa mwanamke alie kwenye mzunguko , ni sawa kuendesha ibada takatifu ?
Raisi Mama Samia ni mtawala anatawala wanaume hapo vipi?Agano jipya ??
1timotheo 2:12 simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume,