YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mfano wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu mwanzilishi wa kanisa la sabato ni mwanamke na mafundisho wanayofundishana ni ya huyo mwanamke Hellen White ya Vitabu vyakesawa, hili fundisho kuna madhebu wanalizingatia sana na hawampi mwanamke nafasi ya kuendesha ibada na kusimama mbele ya wanaume ila madhehebu mengine wanakuambia pazia la hekalu lilipopasuka, patakatifu pa patakatifu pakawa panafikiwa na watu wote, hakuna kizuizi
Mwanamke Hellen White anafundisha wanaume wa kisabato madhabahuni kupitia vitabu vyake
Halafu wanasema ohh Mwanamke haruhusiwi kichekesho