grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hizi ni stori za kutunga ukahadithiwa na wewe ukazibeba kama zilivyo hakuna kitu kama hicho hii ni mbinu ya kumnyanyapaa mwanamke .Mwanamke akiwa kwenye hedhi kuna mambo mengi anayabeba kuliko huo uchafu unaoongelea,
Jiulize inakuaje akichuma pilipili, chungwa, mchaichai, majani ya maboga, n.k akiwa kwenye hiyo hali mmea mzima unanyauka, hapo utagundua kuna zaidi ya huo uchafu.