Zipo pia za wazee ama watu wazima. Tuulize sisi waosha/safishamikundu ya wazee wazungu.Pampas ni za watoto wachanga.
Dunia kwa ujumla imekengeuka na kuacha kile ambacho Mungu aliagiza.Raisi Mama Samia ni mtawala anatawala wanaume hapo vipi?
Timotheo 2 inahusu maagizo ya ibada, sio utawala wa nchi.Raisi Mama Samia ni mtawala anatawala wanaume hapo vipi?
sheria za torati zilikuwa za mwilini zaidi, agano jipya lilikazia kutoka mwilini kwenda rohoni. Mambo ya rohoni hujulikana kwa jinsi ya rohoni, fahamu pia kuna tohara ya rohoniNinyi mnataka,siyo Neno linataka, pole.
Barikiwa na BWANA, ni wachache wanaoweza kusoma NENO LA MUNGU na wakalielewa.Mwanamke hapaswi kupanda madhabahuni, awe kwenye hedhi au awe msafi. Biblia ya zamani ilikataza hivyo na ndivyo ilivyo.
Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada,sheria za torati zilikuwa za mwilini zaidi, agano jipya lilikazia kutoka mwilini kwenda rohoni. Mambo ya rohoni hujulikana kwa jinsi ya rohoni, fahamu pia kuna tohara ya rohoni
WE ARE NOT EQUAL UNDER OUR CREATOR,Hakuna neno,wote wameumbwa Kwa utukufu wa Mungu,hata mwanamume anazaliwa na mwanamke pia,spiritually we are equal before God,hakuna roho yensi jinsia me Wala ke
Apatiwa mleta uzi.Mimi sihusiki.Mgonjwa anaruhusiwa kuendesha ibada iwe ya kiislamu au Kikiristo?
sawa, hili fundisho kuna madhebu wanalizingatia sana na hawampi mwanamke nafasi ya kuendesha ibada na kusimama mbele ya wanaume ila madhehebu mengine wanakuambia pazia la hekalu lilipopasuka, patakatifu pa patakatifu pakawa panafikiwa na watu wote, hakuna kizuiziNi kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada,
1 Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya
Hata mvua, jua, upepo vinafikia watu wote ila suala la kuwa muwakilishi wa wa shughuli za kitakatifu ni lazima awe mwanaumesawa, hili fundisho kuna madhebu wanalizingatia sana na hawampi mwanamke nafasi ya kuendesha ibada na kusimama mbele ya wanaume ila madhehebu mengine wanakuambia pazia la hekalu lilipopasuka, patakatifu pa patakatifu pakawa panafikiwa na watu wote, hakuna kizuizi
Wakikujibu nibip nimekaa paleeeHapa suala sio mwanamke yupo mwezini au hayupo, hapa tuelezane tu, huu utaratibu wa mwanamke kuendesha ibada wameupata wapi? kwenye biblia ipi?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
kwa hoja hii huoni kuwa ukikutana na wanaharakati wa masuala ya wanawake utaonekana unashadidia mfumo dume na kuwakandamiza wanawake?Hata mvua, jua, upepo vinafikia watu wote ila suala la kuwa muwakilishi wa wa shughuli za kitakatifu ni lazima awe mwanaume
Halafu kuna watu wanasema uislamu unawanyanyapaa wanawake 🤣🤣🤣Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu?
Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada.
1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya."